Taarab: Special thread

Taarab: Special thread

Equatorial Grill kwa Aziz Ally na Travetine Hotel Magomeni zilikuwa sehemu maarufu kwa kupiga live mziki wa Taarabu raia walikuwa wanajaa sana sio wanaume kwa wanawake.

Wapiga kinanda Thabit Abdul mtoto wa Ilala, producer Said Comorien,Allan Mapigo
 
Travertine Magomeni kipindi kile Jahazi ya Mzee Yusuph ipo moto nilikuwa nakesha pale jumapili kuamkia jumatatu then kazini moja kwa moja hiyo. Bambia sana Mishangazi ya kiarabu/mishombe ya Migomigo na Kino.
 
watu wa darisalam kitambo munafaidi.
sasa mukuu Frank Wanjiru kwanini hukunipigia simu nitoke kijijini Meru mapema nije nifaudu mibambio ya mishangazi. umesubiri mpaka kaz ya tofar ndio inilete darisalam. sijapenda kwa kweri kumbe murikua munapata lahaaa
 
Kuna ile. Mm sjui kuattach, maana hizo nyimbo sina kwa cm.

Heshimaa yangu imewatia kiburi mnanipaka matope eheeee
Aaah na utu wangu umewatia jeuri mnaona sjui mfanyaje..
Aha basi wenzanguuuuuu
Huo si ujabaliiii
Hayo ni malupe lupeee eheee

[emoji3][emoji3] enzi hizo. Utaiambia nn daslam na taarabu.
Maruperupe fatma mcharuko
 
Mm kweli huwa napenda kuhudhuria show zao[emoji2]
 
Back
Top Bottom