Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sio taarabKomando..komando..komandooo wambie sisi ndo vipensi komandooo
📌📌📌📌📌📌Kama ni Mwanaume, sioni umuhimu wa kusikiliza miziki ya aina hii 😨😨.
Saivi unasikiliza sana wanaijeria dada yangu🤣😁😂Miaka ya 2011/12/13 nilikuwa nazijua taarabu mno. “Sina muda huo, nani kama mama, mtoto show rangi ya jogoo.
Kukaa Dar napo ni kizaizai 😁😁
😂😂😂😂Miaka ya 2011/12/13 nilikuwa nazijua taarabu mno. “Sina muda huo, nani kama mama, mtoto show rangi ya jogoo.
Kukaa Dar napo ni kizaizai 😁😁
ni wapopo na hiphop. Kina Zuchu tunasikilizia bar 🤣Saivi unasikiliza sana wanaijeria dada yangu🤣😁😂
🤝🤝🤝🤝👍👍📌📌📌📌📌📌
Nimeisikia leo Wasafi Fm...... Jikoni unaogea, bafuni unanpikiaSi bure we umerogwa
Vituko vya makusudi
Badala ya soda baridi
Ama juice ya chungwa
Ushamba umekuzidi, andazi wanywea tongwaaa 😂😂
Nyimbo za ajabu sana taarabu
Haha ngoma inaitwa utalijua jijiNimeisikia leo Wasafi Fm...... Jikoni unaogea, bafuni unanpikia
fatma nyoro huyu dada nmkubali ana sauti nzuri yeye ashura machupa pamoja na leila rashidKuna ile. Mm sjui kuattach, maana hizo nyimbo sina kwa cm.
Heshimaa yangu imewatia kiburi mnanipaka matope eheeee
Aaah na utu wangu umewatia jeuri mnaona sjui mfanyaje..
Aha basi wenzanguuuuuu
Huo si ujabaliiii
Hayo ni malupe lupeee eheee
😀😀 enzi hizo. Utaiambia nn daslam na taarabu.