Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Unajua taarabu weye? Hebu nitajie kikundi kimojawapo tu cha taarabu!
sipendi taarab
but napenda tazama wanawake wakicheza taarab....
i hate taarab...
i love taarab....
Hiyo sio taarabu...sipendi taarab
but napenda tazama wanawake wakicheza taarab....
i hate taarab...
i love taarab....
sasa ndo nin luv n hate
Kwanini umeuliza hapa kwenye mahusiano na mapenzi?Nwy mi sipendi taarabu!
Kwani hapa ni mapenzi kati ya wanaume na wanawake tu? Mapenzi ya vitu na mambo mengine hayaruhusiwi? Mimi ni mpenzi wa Taarab na nimeona niulizie hapa kwenye mahusiano na mapenzi nione kama kuna wengine pia ambao wanapenda. Dhana ya mapenzi ni pana sana.
Kwanini mapenzi yanayohusiana na burudani yasiwe kwenye burudani?
Kinachokatazwa ni kuweka picha chafu na kutumia lugha kali sana.Tubadilishane mawazo kuhusu mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana. TAFADHALI: Hii si sehemu ya kuweka picha chafu ama kutumia lugha kali sana. Zitafutwa!
Nje ya topic, NN napenda avata yako!
Wewe ni demu?
Duh,noma kweli
Wewe ni demu?
Yashakuwa hayo!...
Hayo yepi?
Ya kuulizana jinsia..