Taarabu ya Tanesco

Taarabu ya Tanesco

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Wadau kuna nyimbo 1 ya taarabu huwa inawekwa na tbc, hii taarabu ni safi sana na mijimama inayoimba
Wamenona, mimi nakuanzieni baadhi ya vipande na mwenye video yake atuwekee
"tanesco ni shirika linalohudumia
Wananchi wa tanzania
Tanesco wanachapa kazi usiku na
Mchana.....
Tutoe ushirikiano na tanesco
Friji tupu linakula umeme sana
Kuliko lililojaa mapochopocho..."
 
hahaaa
aisee nilicheka sana ile taarabu,sikutegemea
afu nikamwazia yule PR wao,sijui ndo kapendekeza?
 
Back
Top Bottom