UKijiuliza wana kosa gani? Linalostahili kufa?Duh aisee mambo hayo yanaleta sana uchungu
Inasikitisha sanaHatuna kongozi kwa sasa bali tumeikabidhi Tanganyika yetu Kwa dalali wa kike
Maria yupi? Afadhali kama bado wapo Hai.Maria alisema anajua walipofichwa na asipoachiwa huru atasema ni kina nani wamewachukua
Kuna wakati nawaza hawa ni Magaidi? Maana Magaidi wakiingia kwenye Nchi huwa wanasumbua sana.Huwa napata wakati mgumu sana kuwatengnisha hao watekaji na kikundi maalum na cha siri kilichoundwa kwa kazi hiyo, ndani ya sirikali.
Wewe ni nyang'au jeusiKifo ni kifo tu. Samia mitano tena.
Nakubaliana na wewe 100%, anayetuongoza kujifanya mcha Mungu kumbe ni dictator haswaMpaka sasa hivi watakuwa wameshauliwa, hakika tuna Serikali dhalimu zenye viongozi makatili wasio na utu wa kibinadamu