wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Umesemaa??Inasikitisha sana, halafu mbuzi jike mmoja ametoka kupandwa huko, anasema ni vi drama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesemaa??Inasikitisha sana, halafu mbuzi jike mmoja ametoka kupandwa huko, anasema ni vi drama
Usihofu bwana mdogo MUNGU hajawahi kukosea,wote walioshiriki wakidhani wao Wana haki kuliko wengine,siku inakuja watatembea uchi ww uwe mpole tu.Inasikitisha sana, halafu mbuzi jike mmoja ametoka kupandwa huko, anasema ni vi drama
Hakuna kusubiri MUNGU tuwashughulikieMungu awaadhibu
Hao policcm wa Chang'ombe watakuwa wanajua kwa undani kilichotekea kwa hao vijanaSoka akamwambia Mlay Kaka salama naomba unisindikize Polisi Chang'ombe, Polisi wamenipigia simu niende nikachukue Bodaboda yangu.
🥱Kifo ni kifo tu. Samia mitano tena.
OH NO! maumivu yanazidi! kampeni ya kuua nzi wa kijani itaanza siku si nyingi! Huu sio uchochezi ila naona mbele giza nene!! Binadamu yeyote anachokaga! na Akichoka ni zaidi ya simba!Nakubaliana na wewe 100%, anayetuongoza kujifanya mcha Mungu kumbe ni dictator haswa
Viongozi wa dini nao niwa kuombea,wamekengeuka sana siku hizi.Lakini hao hao wanawaomba viongozi wa dini kuiombea nchi amani. Msingi wa amani ni haki; haki inapotendeka hakuna sababu ya kuombea amani.Mambo ya ajabu sana
CCM ni makatili haswaOH NO! maumivu yanazidi! kampeni ya kuua nzi wa kijani itaanza siku si nyingi! Huu sio uchochezi ila naona mbele giza nene!! Binadamu yeyote anachokaga! na Akichoka ni zaidi ya simba!
Hatuza kila kitu kwa wajomba zake omanHatuna kongozi kwa sasa bali tumeikabidhi Tanganyika yetu Kwa dalali wa kike
Na hii ndio hoja, hivi yule Alie sema ni drama aki guswa ata sema nini?Hakuna kusubiri MUNGU tuwashughulikie
ROSTAM AZIZI ATAWAMALIZENI KAMA MSIPO MFICHUA HATA KWA KUMTAJA....HATAKI MTU YOYOTE KUATARISHA KOLONI LAKE LA TANGANYIKA.
Ilikua ni asubuhi Jacob Mlay (pichani) alitoa nguo zake nje ili azifue ghafla akapokea sms kutoka kwa Deusdedith Soka, Soka akamwambia Mlay Kaka salama naomba unisindikize Polisi Chang'ombe, Polisi wamenipigia simu niende nikachukue Bodaboda yangu.
Mlay: akajibu sawa ngoja nirudishe nguo zangu ndani maana ndio nilikua nataka nianze kufua, pia naacha simu yangu hii chaji nipigie kwa Tigo yangu.
Soka: Sawa ngoja nimpigie na Dereva wangu Frank Mbise
Tangu siku hiyo Jacob Mlay, Frank Mbise na Deusdedith Soka hawajawahi kupatikana, Jacob Mlay ameacha mtoto mdogo na Mbise ameacha mtoto mdogo.
Credit: Mwaipaya FB