Taarifa fupi ya utekaji

Taarifa fupi ya utekaji

The state mlifanya makosa haya hapa na yatatugharimu sana:-

1.Chama kimoja kushika Dola Kwa muda mrefu hakuna mbadala!
2.Katiba mbovu iliyopo ilipaswa kubadilika walau kipindi Cha mkapa hasa awamu ya pili,nyie Mkaiacha na Marais wamekua miungu watu na hakuna namna ya ku deal nae zaidi Ya kuruhusu damu kumwagika ili kumuondolea uhalali wa kutawala na mfanye "MIPANGO YENU"lakini kama katiba ingebadilika mapema mngekua na tools za ku check and balance bila excecute ya blood shed kama sasa!!

So sad "the state"hamkua pro active!walau tungekua kama america wanavyopokezana madaraka ccm isingekua na hali hii ya kuua ili isipoteze madaraka!!
 
KIFO ni KIFO TU!

Hii kauli hii 😭😭😭

Watanganyika wanaoipenda nchi yao na watu wake uhamuzi mnao kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu na kwenye sanduku la kura.

GOD BLESS TANGANYIKA
 
Soka akamwambia Mlay Kaka salama naomba unisindikize Polisi Chang'ombe, Polisi wamenipigia simu niende nikachukue Bodaboda yangu.
Hao policcm wa Chang'ombe watakuwa wanajua kwa undani kilichotekea kwa hao vijana
 
Lakini hao hao wanawaomba viongozi wa dini kuiombea nchi amani. Msingi wa amani ni haki; haki inapotendeka hakuna sababu ya kuombea amani.Mambo ya ajabu sana
Viongozi wa dini nao niwa kuombea,wamekengeuka sana siku hizi.
 
"Neno HAKI ni Rahisi Kutamka Mnoo Lakini Linapokuja Katika Nyanja Ya Utendaji Kiujumla Wengi Wetu Tumekuwa Tukilivisha Kajiunafki Ni Wachache Sana Waliobarikiwa Kulivisha HAKI,HAKI,,,Tangu Enzi Hadi Sasa Sifahamu Yajayo Wala Sihitaji Kuyawaza Na Kuyatabiri Pia.
 
.

Ilikua ni asubuhi Jacob Mlay (pichani) alitoa nguo zake nje ili azifue ghafla akapokea sms kutoka kwa Deusdedith Soka, Soka akamwambia Mlay Kaka salama naomba unisindikize Polisi Chang'ombe, Polisi wamenipigia simu niende nikachukue Bodaboda yangu.

Mlay: akajibu sawa ngoja nirudishe nguo zangu ndani maana ndio nilikua nataka nianze kufua, pia naacha simu yangu hii chaji nipigie kwa Tigo yangu.

Soka: Sawa ngoja nimpigie na Dereva wangu Frank Mbise

Tangu siku hiyo Jacob Mlay, Frank Mbise na Deusdedith Soka hawajawahi kupatikana, Jacob Mlay ameacha mtoto mdogo na Mbise ameacha mtoto mdogo.

Credit: Mwaipaya FB

ROSTAM AZIZI ATAWAMALIZENI KAMA MSIPO MFICHUA HATA KWA KUMTAJA....HATAKI MTU YOYOTE KUATARISHA KOLONI LAKE LA TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom