witacha matiku
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 722
- 237
hata mi nilikua hapo asubuh sanaaa mkurugezi alvyokua anaongea. Mi mwenyewe alinikwanza kwa majibu yake. Ila subirin paka kieleweke
Nilitaman kumzbua vibao yule mama yaan kanikera
HAPA NIPO HESLB tumeshindwa kukubaliana nao maana wanadai watu wa appeal tena SWALI vyuo vimefunguliwa hiyo REGISTRATION hapo chuon utatoa wap pesa?na baada ya ku-appeal ndani ya siku 90 ndio majibu yatatoka je hapo chuon utakuwa na hali gan?kwa ufup wamekaa kkao il tupew jib la msing taarifa zaid n hapo baadae ila this week watatoa kwenye website yao il watu wa-appeal
Hivi huyo mama yeye alizaa nguruwe ama..??
Mbona hana huruma...?
Hata sijui manina zake
Kwani kuhusu "not secured"&"not acquired" wanasemaje.....
kwa maana hiyo hata meals na accomodation hamna kupewa???Wamesema kama umeandikiwa not secured maana hujapata mkopo baas then hakutoa explation zaidi ya hapo
Kwani kuhusu "not secured"&"not acquired" wanasemaje.....
kweli hii si haki, Lakini nchi inaelekea pabayaHAPA NIPO HESLB tumeshindwa kukubaliana nao maana wanadai watu wa appeal tena SWALI vyuo vimefunguliwa hiyo REGISTRATION hapo chuon utatoa wap pesa?na baada ya ku-appeal ndani ya siku 90 ndio majibu yatatoka je hapo chuon utakuwa na hali gan?kwa ufup wamekaa kkao il tupew jib la msing taarifa zaid n hapo baadae ila this week watatoa kwenye website yao il watu wa-appeal