Taarifa heslb

Taarifa heslb

witacha matiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
722
Reaction score
237
HAPA NIPO HESLB tumeshindwa kukubaliana nao maana wanadai watu wa appeal tena SWALI vyuo vimefunguliwa hiyo REGISTRATION hapo chuon utatoa wap pesa?na baada ya ku-appeal ndani ya siku 90 ndio majibu yatatoka je hapo chuon utakuwa na hali gan?kwa ufup wamekaa kkao il tupew jib la msing taarifa zaid n hapo baadae ila this week watatoa kwenye website yao il watu wa-appeal
 
hata mi nilikua hapo asubuh sanaaa mkurugezi alvyokua anaongea. Mi mwenyewe alinikwanza kwa majibu yake. Ila subirin paka kieleweke
 
Unajua ni mambo ya ajabu kabisa kwa nin wasifanye kaz kama tcu,m2 umepata coz ni priority wakupe loan kwann tunababaishwa hivyo mpaka wa2 wanaichukia serikali kumbe tatzo ni watendaji wa bodi
 
Uyo mkuu nae anaugonjwa cku 90 kweli?
Ntakula nn?vip regstration? Ennh izo not nots atatoa bure yy!
Mwambien aache upuuz kama mkwanja upo watu wa IT waufeed fast wa2 tuingie chuo bana
 
Fukuza weziiii..
Hawa jamaa ni wezi sana,so wameshamaliza kikao chao...
 
HAPA NIPO HESLB tumeshindwa kukubaliana nao maana wanadai watu wa appeal tena SWALI vyuo vimefunguliwa hiyo REGISTRATION hapo chuon utatoa wap pesa?na baada ya ku-appeal ndani ya siku 90 ndio majibu yatatoka je hapo chuon utakuwa na hali gan?kwa ufup wamekaa kkao il tupew jib la msing taarifa zaid n hapo baadae ila this week watatoa kwenye website yao il watu wa-appeal

safi sana kamanda kama tulivyoongea asubuhi,niko moshi now but naamini umeniwakilisha vyema juu ya hisia na hasira kali dhidi ya watendaji wa HESLB.
Na muwaambie mapema ya kwamba hatutaki majibu ya kitoto coz haya ni maisha na future za watu.nasubiri updates zenu mlioko eneo la tukio.mia
With regards
 
HAPA NIPO HESLB tumeshindwa kukubaliana nao maana wanadai watu wa appeal tena SWALI vyuo vimefunguliwa hiyo REGISTRATION hapo chuon utatoa wap pesa?na baada ya ku-appeal ndani ya siku 90 ndio majibu yatatoka je hapo chuon utakuwa na hali gan?kwa ufup wamekaa kkao il tupew jib la msing taarifa zaid n hapo baadae ila this week watatoa kwenye website yao il watu wa-appeal
kweli hii si haki, Lakini nchi inaelekea pabaya
 
Back
Top Bottom