GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Simba SC
Hadi hivi sasa Kikosi cha Mabingwa Watetezi wa VPL Simba SC kimefika salama nchini Erthiopia ambapo leo ( usiku ) huu kitalala katika Hotel ya Sheraton hadi Kesho tayari kwa safari ya kwenda Abuja nchini Nigeria kwa Ndege ya Kukodi ya Kifahari ambayo hata Klabu za FC Barcelona na Liverpool FC nao huitumia kwa ajili ya Mechi yake na Plateau United Siku ya Ijumaa.
Yanga SC
Kikosi cha Yanga SC kilichoanza safari yake ya kwenda nchini Chamazi kimewasili salama kabisa Mbagala Charambe na leo usiku huu kitalala kwa Diwani wa Kata ya Charambe ili kujiweka sawa na Kipigo cha Shalubela na Mbwa Mwizi itakachokipata Kesho. Hata hivyo Kocha wao Kaze na Wachezaji wao Mukoko, Tuisila na Carlinho wamelalamikia Mbu wengi na Kulala kwa Mafungu.