Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hyu jaji kateuliwa na JK au maana kama kateuliwa na JK itakuwa issue kinoma,haki inaweza isitendeke.
Wakati umewadia. Ile kesi itakuwa kesho Alhamisi 03/02/2011. Wote mnaoweza mnaombwa kuwa mahakamani siku hiyo tumpe company mpendazoe. hauwezi kupewa haki bila kuidai na kuisimamia..... "Malanilo; December 27, 2010 at Bukiriro village"
hebu naombeni mnipe profile ya huyo jaji jamani,isije tukawa tunatwanga maji kwenye kinu...
Ukipata profile yake itasaidia nini? utendaji wa mtu haupimwi kwa profile yake, hebu tumpe huyu jaji nafasi ya kufanya kazi yake kisha ndio tufanye evaluation baada ya hukumu!