T Tafakuru Member Joined Dec 9, 2011 Posts 83 Reaction score 33 Feb 6, 2012 #1 Wadau wenzangu, Benjamini Mkapa Aids Foundation (BMAF) walitoa nafasi za kazi mwishoni mwa mwezi wa 12 kwa post ya M&E Officer. Naomba kama kuna mwenye taarifa yeyote au ata kuna mmoja wetu aliitwa interview tupeane taarifa. Karibu sana
Wadau wenzangu, Benjamini Mkapa Aids Foundation (BMAF) walitoa nafasi za kazi mwishoni mwa mwezi wa 12 kwa post ya M&E Officer. Naomba kama kuna mwenye taarifa yeyote au ata kuna mmoja wetu aliitwa interview tupeane taarifa. Karibu sana