Taarifa kuhusu Ajira ya M&E officer BMAF

Taarifa kuhusu Ajira ya M&E officer BMAF

Tafakuru

Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
83
Reaction score
33
Wadau wenzangu, Benjamini Mkapa Aids Foundation (BMAF) walitoa nafasi za kazi mwishoni mwa mwezi wa 12 kwa post ya M&E Officer. Naomba kama kuna mwenye taarifa yeyote au ata kuna mmoja wetu aliitwa interview tupeane taarifa.
Karibu sana
 
Back
Top Bottom