Taarifa kuhusu ICEBOX, maarufu DELI kibongobongo

Taarifa kuhusu ICEBOX, maarufu DELI kibongobongo

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
1,877
Reaction score
2,314
Ndugu wajasiriamali sekta ya vyakula /vinywaji baridi au wajuvi wa mambo,

Ninahitaji kufahamu kuhusu kifaa tajwa hapo juu, deli. Nimeambiwa kwa sasa vingi ni fake/duni. Je, kwa wenye uzoefu kampuni/brand au watu gani hapa Dar wanauza vitu hivi vyenye afadhali? Nini ujanja wa kuokota dodo kwenye mnazi kwenye sekta hii? Tahadhari zipi za kuzingatia katika ununuzi na utunzaji wa vifaa hivi?

Ninahitaji yenye uwezo wa kutunza baridi kwa muda mrefu.

Asanteni
 
Back
Top Bottom