Tetesi: Taarifa kuhusu kutaka kutoroshwa kwa Gekul

Tetesi: Taarifa kuhusu kutaka kutoroshwa kwa Gekul

Ila hata huyu Pauline ana mental disorder huenda ana Bipolar , hata kama huenda mfumo umeshamkataa lakini nae ana uvivu wa kufikiri ! Sasa unawezaje kutoroka na hili zogo kwanza kila mtu anamfuatilia yeye , Pili ana jimbo bado kuna chama chake pia !!
Haya angefanikiwa kutoroka huko anakoenda angasema ni mkimbizi wa kisiasa au 😂😂

Huyu hajajua aseee huu msala anaukuza vibaya mno ! Ile baada ya kipigwa chini angetulia akasikiliza anachoambiwa na mahakama na wakuu wake wa kazi huko hii nchi tushaona mara kibao watu wanazingua hadi kutia aibu ila wanayamaliza wenyewe !

Sasa eti linatoroka tena
basi umejisahau kwamba uliwahi kuwa mbunge na Waziri ukaamua utoroke kama mfanyabiashara ndo unahamisha na vyombo 😂 Manina huyu wakimpiga mvua walahi wampige na za kuwa mjinga mjinga .
 
TAARIFA

Tumepokea taarifa za Kutaka Kumtorosha Pauline Gekul kwenda Nairobi,nchini Kenya kupitia mpaka wa NAMANGA kwa kutumia Landcruiser Hardtop nyeupe yanye namba za DFP 76551 na Vioo vyeusi (Tinted).

Gari hiyo imefika nyumbani kwa Pauline Gekul (Babati) tangu alfajiri ya leo Jumapili nakuanza Kupakia mizigo,ikiwa imesindikizwa na polisi mmoja aliyevalia kiraia mwenye silaha nzito.

Rai wema na Wananchi wenye hasira kali wamezingira nyumba ya Pauline Gekul kufanya doria na wengine wamehamasishana kutangulia NAMANGA getini pale mpakani,kuzuia gari ya aina yoyote itakayo kuwa imembeba Pauline Gekul isipite na mualifu huyo na mfungwa mtarajiwa.

Ambaye baadhi ya vyombo vya dola Babati vinamsaidia kumtosorosha ili kukwepa mkono wa sheria

kutaka aondoke wakati huu wa moto na arudi mambo yatakapokuwa yamepoa siku za baadae.

Msithubutu huo mchezo,MTAJUTA

C.C
IGP Wambura
DCI Kingai
RPC Boaz,Manyara
RSO-Manyara
OC-CID BABATI
DSO-BABATI


Boniface jacoc/twitter x
Duh...
Hatarii..

Pole yakeee
 
Back
Top Bottom