Taarifa kuhusu sakata la diamond show ya mombasa

Taarifa kuhusu sakata la diamond show ya mombasa

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
weekend iliyopita Diamond alikuwa na show Nairobi na Mombasa ambapo kuna taarifa kuwa mashabik wa mombasa walicharuka baada ya Diamond kuchelewa kupanda stage..kuna baadhi ya media na hta kuna uzi uliletwa hapa kuwa diamond alichelewa kupand stage coz alitofautana na waandaaji baada ya wao kumweka kwenye hotel isiyo na hadhi..ni kwel diamond popote aendapo na team yake ni lazma awekwe kwwnye hotel 5star but case ya mombasa reason ilikuwa ni kucheleweshewa nusu ya malipo yke zaid ya dola 7000 zilizokuwa zimebaki..alikomaa wamlipe zote ndio apande coz huwez ukamwambia mtu afanye show akimaliza ndiyo umlipe hakuna wa kumwamini siku hizi na wasanii wengi wa Tz washazulumiwa sana kwa mtindo huu..hiyo ndio reason y akichelewa..walimlipa ndio akapanda on stage mida ya sa 9 hiv na watu kutuliza hasira zao baada ya kumwona.
#WCB
 
Back
Top Bottom