Taarifa kutoka bodi ya mikopo, kuhusu waliochaguliwa Diploma UDOM 14/15

Taarifa kutoka bodi ya mikopo, kuhusu waliochaguliwa Diploma UDOM 14/15

Hondat

Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
22
Reaction score
1
Habari yenu,taarifa za kuaminika kutoka bodi ya mikopo ni KWAMBA HAKUTAKUWA NA MDA WA KUOMBA MKOPO TENA KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA DIPLOMA YA UALIMU UDOM,WAKATI TANGAZO LA KUOMBA MAFUNZO HAYO,LINATOKA LILIAMBATANA MA UOMBAJI WA MKOPO,KUTOKANA NA WANAFUNZI WENGI KUTOKUWA NA UHAKIKA WA KUCHAGULIWA UDOM,WALIOGOPA KUOMBA KUHOFIA KUPOTEZA Tsh.30000 kwa MPESA!HIVYO KAMA HUKUOMBA MKOPO IMEKULA KWAKO!!,for more info contact INNOCENT BOY
 
Kwenye tangazo lao hawakusema kuwa wanafunzi watakopeshwaje. Hebu soma hapa

TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015

UTANGULIZI
Moja ya mikakati ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi katika kuandaa walimu mahiri ni pamoja na kuhakikisha kuwa, wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya Stashahada ni wale wenye ufaulu mzuri katika mitihani ya kidato cha NNE na SITA. Ili kufanikisha azma hii, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, itadahili wanafunzi wenye ufaulu wa Daraja la Kwanza hadi Daraja la Tatu tu. Aidha, kutokana na upungufu mkubwa wa walimu wa Sayansi na Hisabati wa takribani walimu 26,000, kipaumbele katika udahili kitatolewa kwa waombaji waliofaulu masomo ya Sayansi na Hisabati ili kuziba pengo hili. Nia ya Serikali ni kuwavutia wanafunzi wengi wa masomo ya Sayansi na Hisabati. Kuanzia mwaka huu wa masomo 2014/2015, wanafunzi watakaojiunga na fani ya Ualimu kwa masomo ya Sayansi na Hisabati watagharimiwa na Serikali kupitia mfumo wa ruzuku na mkopo. Wanafunzi watakaokuwa na ufaulu wa Daraja la Kwanza watapatiwa Ruzuku na wale wenye Daraja la Pili na la Tatu watapewa mkopo ili kuwasaidia katika masomo yao. Watakaofaulu mafunzo ya ualimu katika masomo ya Sayansi na Hisabati watapatiwa ajira moja kwa moja kulingana na taratibu za serikali.
 
Habari yenu,taarifa za kuaminika kutoka bodi ya mikopo ni KWAMBA HAKUTAKUWA NA MDA WA KUOMBA MKOPO TENA KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA DIPLOMA YA UALIMU UDOM,WAKATI TANGAZO LA KUOMBA MAFUNZO HAYO,LINATOKA LILIAMBATANA MA UOMBAJI WA MKOPO,KUTOKANA NA WANAFUNZI WENGI KUTOKUWA NA UHAKIKA WA KUCHAGULIWA UDOM,WALIOGOPA KUOMBA KUHOFIA KUPOTEZA Tsh.30000 kwa MPESA!HIVYO KAMA HUKUOMBA MKOPO IMEKULA KWAKO!!,for more info contact INNOCENT BOY

Kwenye tangazo lao hawakusema kuwa wanafunzi watakopeshwaje. Hebu soma hapa

TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015 UTANGULIZI Moja ya mikakati ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi katika kuandaa walimu mahiri ni pamoja na kuhakikisha kuwa, wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya Stashahada ni wale wenye ufaulu mzuri katika mitihani ya kidato cha NNE na SITA. Ili kufanikisha azma hii, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, itadahili wanafunzi wenye ufaulu wa Daraja la Kwanza hadi Daraja la Tatu tu. Aidha, kutokana na upungufu mkubwa wa walimu wa Sayansi na Hisabati wa takribani walimu 26,000, kipaumbele katika udahili kitatolewa kwa waombaji waliofaulu masomo ya Sayansi na Hisabati ili kuziba pengo hili. Nia ya Serikali ni kuwavutia wanafunzi wengi wa masomo ya Sayansi na Hisabati. Kuanzia mwaka huu wa masomo 2014/2015, wanafunzi watakaojiunga na fani ya Ualimu kwa masomo ya Sayansi na Hisabati watagharimiwa na Serikali kupitia mfumo wa ruzuku na mkopo. Wanafunzi watakaokuwa na ufaulu wa Daraja la Kwanza watapatiwa Ruzuku na wale wenye Daraja la Pili na la Tatu watapewa mkopo ili kuwasaidia katika masomo yao. Watakaofaulu mafunzo ya ualimu katika masomo ya Sayansi na Hisabati watapatiwa ajira moja kwa moja kulingana na taratibu za serikali.
 
mkuu nyakahanga, tangazo la kuomba mkopo kwa watu wa diploma ya ualim (sayansi & mathes) lilitolewa ktk heslb na walitoa jinsi gan ya kuomba mkopo, na kama umechaguliwa udom ila uliomba kwa njia ya cas kwa kutumia hilo tangazo uliloliweka hapo juu nafikili wataweka utaratibu wa kuwapa mkopo kwa watakaotaka, usihofu
 
weka udhibitisho tukuamin, ustuletee uongo hapa
 
Kwa udom nikwel walitoa fursa rasmi kuanza kuomba toka tarh 1st aug had 10sept, kazi ipo kwa waliochaguliwa direct bila kutuma maombi i.e 4m4 2013 walioweng, 2fanyeje xaxa hatakama kuna mkopo kwa iyo special coarse na bodi ndo washaxema, haiwezkan kukupa bila kuona vyet vyako i.e birth,academic,mdhamin, na muhr pamoja na sign zotee. .apa presha 2! Msaada jaman
 
Kumbe tuko wengi....haiwezekan deadline ya mikopo iwe tr10/9 halafu selection zitoke 14/9 c wange2julisha hata kwenye profile au emails tarifa hizo 2ngezitoa wap ss wakati ktk tangazo lao hawakuweka waz namna ufadhili utakavyokuwa mbona mikopo kwa form six iko wazi ¤damn it!
 
Hapo Kaz Ipo Hawa Nao Wa2 Waboard Ya Yamikopo Mbona Wababaishaj 2 Wanakatalia Kma Vle Nizakwao
 
maisha ya chuo yanaenda bila boom mbona kazani mkanda tu wanafunzi
 
tulizeni akili,kwani mlijua kama mtapelekwa udom?walio wapeleka hapo wanajua mtasomaje.......!
 
waungwana mwenye updates zzt kuhusu ODPE/ODSE Udom aweke hapa na vp kuhusu admission letter?
 
Back
Top Bottom