Taarifa kutoka bodi ya mikopo.

Taarifa kutoka bodi ya mikopo.

benson jovinary

New Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
3
Reaction score
0
[h=5]Hayawi hayawi sasa yamekuwa,kilio kimesikika,wanafunzi wote wa vyuo vikuu boom laki nane na ada wote kulipiwa na serikali kuanzia march, Rais na wa waziri wa elimu kusimamia zoezi zima,
ni kule nchini Uingereza. Sie Tz? Dah! ulisha anza kutabasamu![/h]
 
mijitu kama hii huwa inafikiria kupitia sehemu za siri badala kutumia ubongo,kwanza limeonesha wazi lilikimbia shule,tangu lini Uingereza ikawa na Rais,watu wengine tunaipa sana heshima jamii forum kama sehemu ya kupata habari mpya na za ukweli lakini mijitu mingine iliyokosa kazi inaishi kwa utegemezi kula na kulala bure isiyo na uwezo wa kufikiria inaleta habari za kijingajinga humu inafikiri facebook humu,we limaa mwenye uzi huu uwe makini kuna siku tunakuvyonza hiyo mimacho yako
 
Junior MemberArray

Join Date : 7th February 2013
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
naona ulikua unajifunza kukomenti!!!!! haya ushaweza umefurahi sasa??
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,kilio kimesikika,wanafunzi wote wa vyuo vikuu boom laki nane na ada wote kulipiwa na serikali kuanzia march, Rais na wa waziri wa elimu kusimamia zoezi zima,
ni kule nchini Uingereza. Sie Tz? Dah! ulisha anza kutabasamu!
pumbavu!!!:A S angry:....
 
apigwe ban kwa kosa la utovu wa nidhan la kuleta habari upuuzi!
 
Junior MemberArray

Join Date : 7th February 2013
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
naona ulikua unajifunza kukomenti!!!!! haya ushaweza umefurahi sasa??
hahahaha we jamaa wewe..muonee huruma njuka huyu..
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,kilio kimesikika,wanafunzi wote wa vyuo vikuu boom laki nane na ada wote kulipiwa na serikali kuanzia march, Rais na wa waziri wa elimu kusimamia zoezi zima,
ni kule nchini Uingereza. Sie Tz? Dah! ulisha anza kutabasamu!
serikali za kiafrika zinatumia pesa nyingi sana kwa ajili ya watu wao na hii ndio inafanya serikali zetu/nchi zetu kuwa masikini
1. mwanafunzi wa shule ya secondari anatakiwa kulipa kwa mwaka 4500RMB ni sawa na 1138500TZS
2.Mwanafunzi wa chuo kikuu,inategemea na kozi,kwa wale wanaosoma kozi za agronomy wanalipa 7000-9000 RMB ni sawa na 1771000-2277000TZS
Na hiyo ni kwa kozi za bei ya chini kabisaa maana hazina ajira,kozi za uchumi na udaktari ni gharama.
Lakini kwa nchi kama niger wanafunzi wanasoma bure bila kulipa chochote kile,Angarau kwa Tanzania tunakopeshwa na kuzipa pesa hizo.
 
mijitu kama hii huwa inafikiria kupitia sehemu za siri badala kutumia ubongo,kwanza limeonesha wazi lilikimbia shule,tangu lini Uingereza ikawa na Rais,watu wengine tunaipa sana heshima jamii forum kama sehemu ya kupata habari mpya na za ukweli lakini mijitu mingine iliyokosa kazi inaishi kwa utegemezi kula na kulala bure isiyo na uwezo wa kufikiria inaleta habari za kijingajinga humu inafikiri facebook humu,we limaa mwenye uzi huu uwe makini kuna siku tunakuvyonza hiyo mimacho yako
hapa atakuwa amekuelewa vzuri sana! Ila naomba umuongeze tusi mpumbavu huyu!
 
[h=5]Hayawi hayawi sasa yamekuwa,kilio kimesikika,wanafunzi wote wa vyuo vikuu boom laki nane na ada wote kulipiwa na serikali kuanzia march, Rais na wa waziri wa elimu kusimamia zoezi zima,
ni kule nchini Uingereza. Sie Tz? Dah! ulisha anza kutabasamu![/h]

acha unaa chalii yangu,tumevurugwa
 
Back
Top Bottom