Taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba ndugu Salim Abdallah (Try Again) ni kuwa Simba itasajili wachezaji wanne wa kigeni msimu ujao.
Amebainisha nafasi za wachezaji hao kuwa ni mastraika wawili, winga mmoja na beki mmoja wa kati.
Kutokana na nafasi ya wachezaji hao, ni dhairi kuwa Chris Mugalu, Medie Kagere, Benard Morrison na Pascal Wawa safari itawakuta. Pona ya Morrison kuuzwa kwa Banda au Sakho.
Wachezaji wanaohusishwa kutua Simba ni Mosses Phiri kutoka Zanako na V. Adebayor kutoka USGN huku Winga Mtanzania Simon Msuva akihusishwa pia.