Taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba ndugu Salim Abdallah (Try Again) ni kuwa Simba itasajili wachezaji wanne wa kigeni msimu

Hichilema

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
1,608
Reaction score
1,687
Taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba ndugu Salim Abdallah (Try Again) ni kuwa Simba itasajili wachezaji wanne wa kigeni msimu ujao.

Amebainisha nafasi za wachezaji hao kuwa ni mastraika wawili, winga mmoja na beki mmoja wa kati.

Kutokana na nafasi ya wachezaji hao, ni dhairi kuwa Chris Mugalu, Medie Kagere, Benard Morrison na Pascal Wawa safari itawakuta. Pona ya Morrison kuuzwa kwa Banda au Sakho.

Wachezaji wanaohusishwa kutua Simba ni Mosses Phiri kutoka Zanako na V. Adebayor kutoka USGN huku Winga Mtanzania Simon Msuva akihusishwa pia.
 
Taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba ndugu Salim Abdallah (Try Again) ni kuwa Simba itasajili wachezaji wanne wa kigeni msimu ujao.
Amebainisha nafasi za wachezaji hao kuwa ni mastraika wawili, winga mmoja na beki mmoja wa kati.
Kutokana na nafasi ya wachezaji hao, ni dhairi kuwa Chris Mugalu,Medie Kagere, Benard Morrison na Pascal Wawa safari itawakuta. Pona ya Morrison kuuzwa kwa Banda au Sakho.

HAKIKA HII TIMU NI YA WANAWAKE....NYOKO.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Morrison hawezi kuondoka Simba Sc miaka hii ya karibuni, hapo anaeweza kuondoka ni Lwanga maana namba yake naona kaishika Kanoute na wakati huohuo yupo Mzamiru ambae sidhani kama anaweza ondoka mapema.
 
Msuva? Sidhani kama ana poor thinking capacity hii. Kutoka kuhitajika Turkish mpk Simba?..... Mwaka huu mtasajiri mpk Ronaldo😀
 
Winga anaeondoka ni Sakho huku Adebayor akichukua nafasi yake.

Kuna ofa za maana sana zimeanza kumiminika Simba za Sakho hivyo sidhani kama Simba watazikataa.
 
Msuva? Sidhani kama ana poor thinking capacity hii. Kutoka kuhitajika Turkish mpk Simba?..... Mwaka huu mtasajiri mpk Ronaldo😀
Halafu nyinyi sijui mnamchukuliaje tu Msuva, yule ni wa kawaida tu hata hapa Africa hajavuma kama mnavyotaka kuaminisha watu kiasi cha kumfananisha na Ronaldo.

Angekuwa dhahabu kiasi hicho ungeshaona vilabu vinamgombania wakati huu.
 
Msuva ni mchezaji mkubwa sana au kwasababu anacheza nje ndio maana tunamuona mkubwa?

Inawezekana Msuva akawa na kiwango cha juu zaidi ya wazawa wengi walioko kwenye ligi yetu ya NBC?

Namuona Msuva mpambanaji lakini sio tegemeo sana, hata Samatta nae ni wa kawaida tu ila inabidi tuwaringie kwasababu ndio tulionao.
 
Wote hao ni wa kawada sana.
 
Taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba ndugu Salim Abdallah (Try Again) ni kuwa Simba itasajili wachezaji wanne wa kigeni msimu ujao.
Amebainisha nafasi za wachezaji hao kuwa ni mastraika wawili, winga mmoja na beki mmoja wa kati.
Kutokana na nafasi ya wachezaji hao, ni dhairi kuwa Chris Mugalu,Medie Kagere, Benard Morrison na Pascal Wawa safari itawakuta. Pona ya Morrison kuuzwa kwa Banda au Sakho.
Wachezaji wanaohusishwa kutua Simba ni Mosses Phiri kutoka Zanako na V. Adebayor kutoka USGN huku Winga Mtanzania Simon Msuva akihusishwa pia.
Mugalu ,Wawa na kagere ,watoke haraka Sana
 
Henocker
Sakho
Banda
Onyango
Morisson
Lwanga
Wawa[emoji777]
Kagere[emoji777]
Mugalu [emoji777]
Bwalya
Chama
Kanoute[emoji777]
 
Back
Top Bottom