HAKIKA HII TIMU NI YA WANAWAKE....NYOKO.Taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba ndugu Salim Abdallah (Try Again) ni kuwa Simba itasajili wachezaji wanne wa kigeni msimu ujao.
Amebainisha nafasi za wachezaji hao kuwa ni mastraika wawili, winga mmoja na beki mmoja wa kati.
Kutokana na nafasi ya wachezaji hao, ni dhairi kuwa Chris Mugalu,Medie Kagere, Benard Morrison na Pascal Wawa safari itawakuta. Pona ya Morrison kuuzwa kwa Banda au Sakho.
Wachezaji wanaohusishwa kutua Simba ni Mosses Phiri kutoka Zanako na V. Adebayor kutoka USGN huku Winga Mtanzania Simon Msuva akihusishwa pia.
Morrison hawezi kuondoka hapo.Morison sidhani kama ataondoka
Lwanga vs kanoute.Morrison hawezi kuondoka Simba Sc miaka hii ya karibuni, hapo anaeweza kuondoka ni Lwanga maana namba yake naona kaishika Kanoute na wakati huohuo yupo Mzamiru ambae sidhani kama anaweza ondoka mapema.
Lwanga anaachwaje kwa mfano. Hakuachwa akiwa na majeruhi ya muda mrefu sure aachwe sasa hivi yuko fiti wakati shughuli yake ikihitajikae sana.Morison in, Luanga out
Halafu nyinyi sijui mnamchukuliaje tu Msuva, yule ni wa kawaida tu hata hapa Africa hajavuma kama mnavyotaka kuaminisha watu kiasi cha kumfananisha na Ronaldo.Msuva? Sidhani kama ana poor thinking capacity hii. Kutoka kuhitajika Turkish mpk Simba?..... Mwaka huu mtasajiri mpk Ronaldoš
Nibora Aachwe Kanoute Kuliko LwangaLwanga anaachwaje kwa mfano. Hakuachwa akiwa na majeruhi ya muda mrefu sure aachwe sasa hivi yuko fiti wakati shughuli yake ikihitajikae sana.
Wote hao ni wa kawada sana.Msuva ni mchezaji mkubwa sana au kwasababu anacheza nje ndio maana tunamuona mkubwa?
Inawezekana Msuva akawa na kiwango cha juu zaidi ya wazawa wengi walioko kwenye ligi yetu ya NBC?
Namuona Msuva mpambanaji lakini sio tegemeo sana, hata Samatta nae ni wa kawaida tu ila inabidi tuwaringie kwasababu ndio tulionao.
Mugalu ,Wawa na kagere ,watoke haraka SanaTaarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba ndugu Salim Abdallah (Try Again) ni kuwa Simba itasajili wachezaji wanne wa kigeni msimu ujao.
Amebainisha nafasi za wachezaji hao kuwa ni mastraika wawili, winga mmoja na beki mmoja wa kati.
Kutokana na nafasi ya wachezaji hao, ni dhairi kuwa Chris Mugalu,Medie Kagere, Benard Morrison na Pascal Wawa safari itawakuta. Pona ya Morrison kuuzwa kwa Banda au Sakho.
Wachezaji wanaohusishwa kutua Simba ni Mosses Phiri kutoka Zanako na V. Adebayor kutoka USGN huku Winga Mtanzania Simon Msuva akihusishwa pia.
Kanoute ndio aondoke kabisaNibora Aachwe Kanoute Kuliko Lwanga