Taarifa kutoka TCU

Jamani Jordan morogoro washapokea majina toka TCU Leo na wametuma SMS pamoja na email kwa walochaguliwa.sijaambiwa na mtu nimeshuhudia
 
Nimeamin wew ni Ugali maharage kweli,fungua web ya tcu sasa hivi uone kama kuna tangazo kama hilo.😱😱

sawa bwana wacha nikubali tu yaishe.kwa sbabu hauwezi kuelewa kwa sasa, ila yakitoka tar 22,ndipo utaelewa.
 
Mbona ni kutukanana na kadharauliana jmn.
hiyo haisolve matatzo ndg zangu. better kurekebishana na kuelekezana.
 
kwa mfano tukamwuliza hizo taarifa amezitoa wapi atajibu nini? Kwani hapa ni jukwaa la umbea?
 
Kingereza chenyewe shida!
 

naomba niulize vipi kwa wale ambao wameshachaguliwa
i mean before kufungwa link ya cas- i and my friends were able to see that tumechaguliwa
nilichofanya ni type namba ya mtihan(o level ) mwaka (2011)
then jina langu na la mzazi..
so if i saw was true
can i worry about a thing?
i need help...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…