kadendu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 645
- 496
Nianze kukipongeza chama changu CCM kwa mchakato wa uchaguzi wa ndani, pili nichukue nafasi hii kufikisha kilio changu kwenu viongozi wangu wa juu namna mchakato wa kumchagua mgombea udiwani kata ya mtera ulivyokuwa na rushwa za wazi lakini pia ulikuwa ni mkakati wa mbunge aliyepita simbachawene kumuweka MTU wake.
Kisa kikubwa ni pale Diwani aliyepita kumuomba mh Rais magufuri majengo yaliyoachwa na wachina kiwe kituo cha afya mtera,wakati msimamo wa simbachawe ulikuwa kuweka chuo cha VETA kwa upande wetu sisi wananchi kata yote tulitaka kituo cha afya na hapo ndipo Simbachawene alimtakia wazi diwani amoni kodi kwa gharama yeyote hata rudi kuwa diwani wa katahiyo kwamba kwanini amemsimamisha mh rais na kumpa taarifa hizo.
Ilikuwa mwaka Jana mwanzoni au mwakajuzi mwishoni sasa kilchotokea mwaka huu kalazimisha kumpachika mgombea wake bwana maulya kwa rushwa na ilikuwa hivi,chama kilitoa basi ndogo kwa ajili ya kukusanya wajumbe vitongojini na kuwaleta sehemu utakapofanyika uchaguzi badala yake gari la simbachawene ndilo lililokuwa linabeba wajumbe na kila mjumbe alipoingia ndani ya gari alipewa tsh 120000 lakimoja na ishirini na kuambiwa ukipokea hiyo pesa asipopita maulya unazirudisha viongozi wangu naomba mfanye uchunguzi jibu mtalipata mchana kweupe ni hayo machache niwatakie kazi njema, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.