Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 752
- 320
Jimbo la kibakwe ni sugu kwa rushwa nyakati za uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishuhudia wazee wa kung'ata ndio walikuwa wagawaji sijaelewa mpaka Leo.Kwa ujumla wakichunguza mchakato wa uchaguzi wa ndani jimbo la kibakwe kuanzia uchaguzi wa mbunge watakuta uchafu wa kiwango cha juu ilifikia mahari taasisi nyeti inayoshughurikia rushwa ndiyo walikuwa wanatumika kuzigawa kwa wajumbe nilitamani mwenyekiti ccm taifa alijue hili.