Wizara ya Ardhi
Govt Institution
- May 14, 2024
- 306
- 165
Utaratibu alio utumia kutangaza sio Sahihi
Maandishi ya huyo mwenye hotel yawekwe hapa hadharani ili tujiridhishe yanasema nini. Usikute kweli aliuziwa.Utaratibu alio utumia kutangaza sio Sahihi
Na ni fedhea Kwa Wizara Kwa Raia mgeni kutangaza Rasilimali ya Nchi Kwa namna hiyo,
Awajibishwe.
Ili Dunia ifahamu ardhi ya Tanzania ni Mali ya Umma chini ya Mh Raisi na sio Mali binafsi kiasi ambacho Anaweza kujiamulia anacho Taka.