Taarifa kwa umma kuhusu kisiwa cha Lupita

Arnold Schwarzenegger sio Mmiliki wa hotel ya pale tena.?
 
Maandishi ya huyo mwenye hotel yawekwe hapa hadharani ili tujiridhishe yanasema nini. Usikute kweli aliuziwa.
 
Tumwamini nani? Nyie au yeye?

Taarifa imetolewa siku 2 zilizo pita, mlikua wapi? Kuja kutoa ufafanuzi.

Hamuaminiki.
 
Hiyo kampuni ya Firelight Safaris Ltd, inamkataba wa muda gani?, au kama mkataba wa Yanga na GSM wa milele Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…