Taarifa kwa umma kuhusu matokeo ya Simba na Azam FC

Simba tatizo ni kukosa washambuliaji makini langoni pa adui.
Okwi tuliyemtegemea kageuka mtalii wa kuzulula Kampala baada ya kuvuta pesa ya usajiri, hana uchungu na timu na anajiona bora kuliko timu.
Timu inaposajiri mshambuliaji wa kimataifa ni lazima acheze na sio kugeuka Bosi wa kucheza anapoamua yeye.
Okwi anaighalimu sana timu kama kwa maoni yangu afukuzwe tu.
Hana Faida, aondoke ili Simba itafute mfungaji mwingine wa Kimataifa mwenye manufaa kwa timu.
Mchezaji anageuka meneja wa timu ?
Okwi ndiye anayeharibu mafanikio ya timu, mfukuzeni haraka la sivyo mtakuja juta baadae.
 
Alubadirrrr ameanza kujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…