Taarifa kwa umma kuhusu matokeo ya Simba na Azam FC

Taarifa kwa umma kuhusu matokeo ya Simba na Azam FC

Simba tatizo ni kukosa washambuliaji makini langoni pa adui.
Okwi tuliyemtegemea kageuka mtalii wa kuzulula Kampala baada ya kuvuta pesa ya usajiri, hana uchungu na timu na anajiona bora kuliko timu.
Timu inaposajiri mshambuliaji wa kimataifa ni lazima acheze na sio kugeuka Bosi wa kucheza anapoamua yeye.
Okwi anaighalimu sana timu kama kwa maoni yangu afukuzwe tu.
Hana Faida, aondoke ili Simba itafute mfungaji mwingine wa Kimataifa mwenye manufaa kwa timu.
Mchezaji anageuka meneja wa timu ?
Okwi ndiye anayeharibu mafanikio ya timu, mfukuzeni haraka la sivyo mtakuja juta baadae.
 
SIMBA SPORTS CLUB
DAR ES SALAAM
6/1/2018

TAARIFA KWA UMMA

Klabu ya Simba inapenda kukanusha matokeo ya mchezo kati yake na Azam FC kama ambavyo yameonyeshwa kwwnye kituo cha Luninga cha Azam Sports 2.

Katika mechi hiyo kituo hicho cha TV kimeonyesha Simba imefungwa bao 1-0

Kiukweli uonyeshaji wa mechi hiyo umejikita kwenye kuharibu taswira ya klabu,na una nia ovu kwa timu yetu ambayo inaendelea kufabya vzr kwenye mashindano ya kombe la Mapinduzi.

Mara kwa mara TV hii imekuwa ikirusha na kutangaza matokeo ya namna hiyo kwa klabu,hali inayopelekea uongozi wa Simba kulaumiwa na Wanachama na mashabiki

Kwa matokeo yaliyoonyeshwa leo ambayo imezua taharuki kubwa hususan mitandaoni,klabu imeonelea iliweke sawa kwa kuwaambia Wanachama na washabiki wake kuwa, haijafungwa na Azam na kilichooneshwa na Azam Sports 2 ni uzushi usiovumilika.


IMETOLEWA NA....

HAJI S MANARA
MKUU WA HABARI
SIMBA SPORTS CLUB

SIMBA NGUVU MOJA
Alubadirrrr ameanza kujibu
 
Back
Top Bottom