Taarifa kwa umma kutoka CCM: Hotuba kwa Ufupi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa wakati wa Uzinduzi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Taarifa kwa Umma kutoka CCM kama ilivyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka.

IMG-20220223-WA0020.jpg

IMG-20220223-WA0021.jpg
 
Heko CCM. Wakati Vyama vya Upinzani vinahangaika na ajenda za kudandia na kupinga kila kitu, CCM inazidi kujizatiti kwa kuandaa Viongozi wake kiuadilifu na wazalendo kulitumikia Taifa. Sioni Chama Cha kuiondoa CCM madarakani mpaka Dunia hii inakwisha kwa namna wanavyojijenga kimifumo kila uchao.
 
Nilicheka sana pembeni yangu jamaa alishangaa kuona ssh anamaliza hotuba as if mtu fulani alikuwa anatumbuiza jukwaa, akaniuliza ndo kamaliza? Nami nikamjibu, ndo kamaliza hvyo mke wa mtu rais wenu. Tanzania inahitaji maombi sana kwakweli
 
Ccm wanajizatiti kutawala waTz na kudhibiti wenye maono yofauti na maono yao sio kujizatiti kuondoa maradhi ,umaskini na ujinga.
 
Rasilimali ni nyingi muno..sasa why kukopa daily..why kukamua wanyonge kwa tozo za kiwaki.. CCM sio chama cha kuwakomboa wanyonge.. CCM imekuwa ni syndicate cartel ya watu wachache
Ni nyingi sababu wao wanapiga pesa kilaini kabisa
 
Nilicheka sana pembeni yangu jamaa alishangaa kuona ssh anamaliza hotuba as if mtu fulani alikuwa anatumbuiza jukwaa, akaniuliza ndo kamaliza? Nami nikamjibu, ndo kamaliza hvyo mke wa mtu rais wenu. Tanzania inahitaji maombi sana kwakweli
Kivipi mkuu......
 
Kwa kweli nchi inapitia kwenye wakati mgumu sn
 
Nilicheka sana pembeni yangu jamaa alishangaa kuona ssh anamaliza hotuba as if mtu fulani alikuwa anatumbuiza jukwaa, akaniuliza ndo kamaliza? Nami nikamjibu, ndo kamaliza hvyo mke wa mtu rais wenu. Tanzania inahitaji maombi sana kwakweli
Huyo "jamaa yako" alikua anataka kumaanisha kwamba "mke wa mtu" hapaswi kuwa Rais ?
 
Nilicheka sana pembeni yangu jamaa alishangaa kuona ssh anamaliza hotuba as if mtu fulani alikuwa anatumbuiza jukwaa, akaniuliza ndo kamaliza? Nami nikamjibu, ndo kamaliza hvyo mke wa mtu rais wenu. Tanzania inahitaji maombi sana kwakweli
Non sense
 
Rasilimali ni nyingi muno..sasa why kukopa daily..why kukamua wanyonge kwa tozo za kiwaki.. CCM sio chama cha kuwakomboa wanyonge.. CCM imekuwa ni syndicate cartel ya watu wachache
Mkuu una maanisha CCM, ANC, SWAPO, ZANU-PF na FRELIMO wamekopa hizo fedha ?
 
Ccm ni sawa na mganga wa kienyeji ambaye hawezi kujitajirisha mwenye, chuo cha viongozi kinazalisha kina Lemutz au makondo??.
 
Back
Top Bottom