Taarifa kwa umma kutoka CCM: Hotuba kwa Ufupi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa wakati wa Uzinduzi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere

Taarifa kwa umma kutoka CCM: Hotuba kwa Ufupi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa wakati wa Uzinduzi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere

Nilicheka sana pembeni yangu jamaa alishangaa kuona ssh anamaliza hotuba as if mtu fulani alikuwa anatumbuiza jukwaa, akaniuliza ndo kamaliza? Nami nikamjibu, ndo kamaliza hvyo mke wa mtu rais wenu. Tanzania inahitaji maombi sana kwakweli
Ngoja chawa wake waje 🤣🤣🤣
 
Kwa nini kwenye miaka 60 baada ya uhuru, nchi za Afrika ziendelee kusaidiwa mambo ya msingi na kushangilia kama walemavu?
Ni sera na fikra potofu kabisa kwa vyama vya ukombozi kuendelea kutegemea chama cha China kuandaa viongozi.
Mambo ya uandaaji wa sera za kujiletea maendeleo na uongozi wa ndani lazima tujiamulie wenyewe kwa kujenga taasisi zetu wenyewe.
Kuandaa viongozi katika chuo cha kusaidiwa ni muendelezo wa kuwajengea vijana na viongozi wa baadaye fikra za kitumwa.
 
Heko CCM. Wakati Vyama vya Upinzani vinahangaika na ajenda za kudandia na kupinga kila kitu, CCM inazidi kujizatiti kwa kuandaa Viongozi wake kiuadilifu na wazalendo kulitumikia Taifa. Sioni Chama Cha kuiondoa CCM madarakani mpaka Dunia hii inakwisha kwa namna wanavyojijenga kimifumo kila uchao.

Ccm sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. CCM ipo madarakani kwa shuruti, na itatoka kwa machafuko tu. Kizazi cga ccm kilishapita miaka mingi sana.
 
Anayepitia wakati mgumu ni yule "mkuu wenu" mbishi anayetumia mtondoo kule selo......
Jamaa ni mbishi sababu amefanikiwa kibiashara, hata maza ako alitamani kuolewa na mtu kama yule kuliko hasara aliyoipata kwa baba ako mtu ambaye hana mbele wa nyuma.
 
Back
Top Bottom