Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Ngoja chawa wake waje 🤣🤣🤣Nilicheka sana pembeni yangu jamaa alishangaa kuona ssh anamaliza hotuba as if mtu fulani alikuwa anatumbuiza jukwaa, akaniuliza ndo kamaliza? Nami nikamjibu, ndo kamaliza hvyo mke wa mtu rais wenu. Tanzania inahitaji maombi sana kwakweli
Nani ni beneficiary mkubwa wa chuo hcho zaid ya CcmMkuu una maanisha CCM, ANC, SWAPO, ZANU-PF na FRELIMO wamekopa hizo fedha ?
Heko CCM. Wakati Vyama vya Upinzani vinahangaika na ajenda za kudandia na kupinga kila kitu, CCM inazidi kujizatiti kwa kuandaa Viongozi wake kiuadilifu na wazalendo kulitumikia Taifa. Sioni Chama Cha kuiondoa CCM madarakani mpaka Dunia hii inakwisha kwa namna wanavyojijenga kimifumo kila uchao.
Taarifa kwa Umma kutoka CCM kama ilivyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka.
View attachment 2129498
View attachment 2129499
Jamaa ni mbishi sababu amefanikiwa kibiashara, hata maza ako alitamani kuolewa na mtu kama yule kuliko hasara aliyoipata kwa baba ako mtu ambaye hana mbele wa nyuma.Anayepitia wakati mgumu ni yule "mkuu wenu" mbishi anayetumia mtondoo kule selo......
Mkuu, tukienda kwa mtindo wa swali kwa swali nadhani hatutafika. Utaratibu bora ni swali kwa jibu, swali kwa jibu.Nani ni beneficiary mkubwa wa chuo hcho zaid ya Ccm
TakatakaTaarifa kwa Umma kutoka CCM kama ilivyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka.
View attachment 2129498
View attachment 2129499