Inabidi uoneshe wapi yalianza ili upate haki ya kusema kwamba kesho yanaendelea.Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.
Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi
Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.
Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa na tutaendelea tulipoishia.
December 10 kesho maandamano yapo kama kawaida!!
Mwendo Mpera Mpera mpaka wateme BUNGO.Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.
Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi
Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.
Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa na tutaendelea tulipoishia.
December 10 kesho maandamano yapo kama kawaida!!
Mwanza ipi?Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.
Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi
Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.
Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa na tutaendelea tulipoishia.
December 10 kesho maandamano yapo kama kawaida!!
Wewe ni ZERO brain ,haujui chochote ,endelea kukaa kwa shemeji ukisubiri ugali wa bure ,acha wanaume wapambanie kesho yako ili utoke hapo kwa shemeji ukapate ajira.Inabidi uoneshe wapi yalianza ili upate haki ya kusema kwamba kesho yanaendelea.
Labda useme maandamano yanaanza kesho
Yes ,hii ni plan B kwamba ya kutoka barabarani imeshindikana kwasababu ya curfew basi ,plan B ni kwamba daily ni siku ya maandamano ili wao waendelee kushinda juani huku Gen Z wakishinda ndani ,shughuli za uchumi hazifanyiki tuone nani anayeathirika zaidi.Haya mandamano no not stop so askari waendelee kukaa hivyo hivyo barabarani
KabisaYes ,hii ni plan B kwamba ya kutoka barabarani imeshindikana kwasababu ya curfew basi ,plan B ni kwamba daily ni siku ya maandamano ili wao waendelee kushinda juani huku Gen Z wakishinda ndani ,shughuli za uchumi hazifanyiki tuone nani anayeathirika zaidi.
Kwa mbinu hii ya kutangaza maandamano daily ndiyo ambayo Gen Z watashinda maana WAHUNI wanaona curfew ndiyo solution ,je watafanya curfew daily? Hapana so lazima WATEME BUNGO.
Huyo Samuya yupo kweli?anashindwa hata kutupa salamu za Uhuru,ngoja ataona, tunamsubiria X-mass na mwaka mpya aje atusalimieLeo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.
Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi
Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.
Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa na tutaendelea tulipoishia.
December 10 kesho maandamano yapo kama kawaida!!
Huna lolote mkuu wewe ni keyboard worrierHuyo Samuya yupo kweli?anashindwa hata kutupa salamu za Uhuru,ngoja ataona, tunamsubiria X-mass na mwaka mpya aje atusalimie
Maandamano haya ni ya watanzania wote, tunaandamana kwa zamu, Leo ilikuwa zamuya vyombo vya ulinzi na usalama. Kesho ni zamu ya watu wengine!Inabidi uoneshe wapi yalianza ili upate haki ya kusema kwamba kesho yanaendelea.
Labda useme maandamano yanaanza kesho