Taarifa kwa Umma: Mimi niliyekuwa Mwanachama na mpenzi mkubwa wa Yanga leo nimeamua kuhamia Klabu ya Simba ili kuunga mkono juhudi na Mafanikio

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Ni uamuzi wa hiari kabisa ambao nimeufanya nikiwa na akili timamu tena bila shinikizo au ushawishi wowote.

Kwamba kuanzia leo nitakuwa Mwanachama kindakindaki wa Klabu ya Simba.

Kwamba nimeachana kabisa na Klabu ya Yanga bila chuki wala husuda.

Kwamba nimeamua kuunga mkono mafanikio makubwa yanayotokana na juhudi kubwa za Uongozi wa Klabu ya Simba.

Kwamba Klabu ya Simba imeitangaza nchi yetu vema kupitia Utalii.

Kwamba Mimi Mtanzania Mzalendo ninafurahia kuwa sehemu ya mafanikio ya Kimichezo nchini Tanzania.

Hongera sana Klabu ya Simba kwa kuitekeleza kivitendo Ilani ya Uchaguzi cha Chama Tawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ