Taarifa kwa Umma: Mimi niliyekuwa Mwanachama na mpenzi mkubwa wa Yanga leo nimeamua kuhamia Klabu ya Simba ili kuunga mkono juhudi na Mafanikio

Kwani hawa jamaa walifanikiwaje kupenya na paka pale airport, mahana hile penati kama ya kichawi vile
mahana=maana hile=ile kwanini timu isiitwe utopolo kwa mashabiki vilaza kama wewe
 
Ni uamuzi wa hiari kabisa ambao nimeufanya nikiwa na akili timamu tena bila shinikizo au ushawishi wowote.

Kwamba kuanzia leo nitakuwa Mwanachama kindakindaki wa Klabu ya Simba.

Kwamba nimeachana kabisa na Klabu ya Yanga bila chuki wala husuda.

Kwamba nimeamua kuunga mkono mafanikio makubwa yanayotokana na juhudi kubwa za Uongozi wa Klabu ya Simba.

Kwamba Klabu ya Simba imeitangaza nchi yetu vema kupitia Utalii.

Kwamba Mimi Mtanzania Mzalendo ninafurahia kuwa sehemu ya mafanikio ya Kimichezo nchini Tanzania.

Hongera sana Klabu ya Simba kwa kuitekeleza kivitendo Ilani ya Uchaguzi cha Chama Tawala.

Acha zako, tokea lini ukawa mshabiki mkubwa wa Yanga ww, au unapiga kelele tu huku... Ww
1: Una kadi ya uanachama hai, 2: Unalipa ada ya uanachama, 3: Unafuatilia Management ya timu,
4: Una contribution gani kwa timu?

Acha sifa za kitoto, kuwa mtu mzima, ukiendelea na tabia kama hizi, utakuwa mzee na tabia za kitoto toto tu, at the end utakuwa kubwa jinga.
Speak as a matured man, ww Yanga unaisaidia nn? Hata utake matokeo bora, taja msaada wako mmoja tu kwa Yanga, najua huna, better to shut up.

Hata huko Simba hutakuwa na msaada wowote, utaendeleza tabia hii hii. Member usie na mchango wowote, ila kelele tupu tu.
 
Karibu sana simba ila ng' ombe asiye na mkia anaonekana kama mbuzi mkubwa.
 
Subiri wapo watakaokujibu kikamilifu

Acha zako, tokea lini ukawa mshabiki mkubwa wa Yanga ww, au unapiga kelele tu huku... Ww
1: Una kadi ya uanachama hai, 2: Unalipa ada ya uanachama, 3: Unafuatilia Management ya timu,
4: Una contribution gani kwa timu?

Acha sifa za kitoto, kuwa mtu mzima, ukiendelea na tabia kama hizi, utakuwa mzee na tabia za kitoto toto tu, at the end utakuwa kubwa jinga.
Speak as a matured man, ww Yanga unaisaidia nn? Hata utake matokeo bora, taja msaada wako mmoja tu kwa Yanga, najua huna, better to shut up.

Hata huko Simba hutakuwa na msaada wowote, utaendeleza tabia hii hii. Member usie na mchango wowote, ila kelele tupu tu.
 
Pambaneni na hali yenu bhana, msituletee jam huku msimbazi, kwanza una pesa ya kununua heinkein, maana huku msimbazi chibuku ni marufuku.
 
Mara chache Sana kukutana na watu wa aina hii.
 
Acha zako, tokea lini ukawa mshabiki mkubwa wa Yanga ww, au unapiga kelele tu huku... Ww
1: Una kadi ya uanachama hai, 2: Unalipa ada ya uanachama, 3: Unafuatilia Management ya timu,
4: Una contribution gani kwa timu?

Acha sifa za kitoto, kuwa mtu mzima, ukiendelea na tabia kama hizi, utakuwa mzee na tabia za kitoto toto tu, at the end utakuwa kubwa jinga.
Speak as a matured man, ww Yanga unaisaidia nn? Hata utake matokeo bora, taja msaada wako mmoja tu kwa Yanga, najua huna, better to shut up.

Hata huko Simba hutakuwa na msaada wowote, utaendeleza tabia hii hii. Member usie na mchango wowote, ila kelele tupu tu.
Mngekuwa mnalipa ada msingeshindwa kulipa madeni.
 
Karibuni sana Simba,najua mpowengi.
Yanga sio timu ya kubadilika leo wala kesho mtaumia nafsi bure kupenda vilivyooza.
 
Ni uamuzi wa hiari kabisa ambao nimeufanya nikiwa na akili timamu tena bila shinikizo au ushawishi wowote.

Kwamba kuanzia leo nitakuwa Mwanachama kindakindaki wa Klabu ya Simba.

Kwamba nimeachana kabisa na Klabu ya Yanga bila chuki wala husuda.

Kwamba nimeamua kuunga mkono mafanikio makubwa yanayotokana na juhudi kubwa za Uongozi wa Klabu ya Simba.

Kwamba Klabu ya Simba imeitangaza nchi yetu vema kupitia Utalii.

Kwamba Mimi Mtanzania Mzalendo ninafurahia kuwa sehemu ya mafanikio ya Kimichezo nchini Tanzania.

Hongera sana Klabu ya Simba
kwa kuitekeleza kivitendo Ilani ya Uchaguzi cha Chama Tawala.
Karibu Sana Mkuu.
Angalizo: Tusije fungwa siku moja ukarudi yanga
 
Back
Top Bottom