Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama

Sasa umeleta humu ya nini kama hutaki ushauri. Kila la heri. Ila nakupa pole
 
Ni vizuri ukauomba uongozi wa jamii forums wakubadilishie hili jina. Maana linaleta ukakasi! Watu wengine wanaweza wakakufikiria tofauti. Tena kuna kipindi mpaka picha uliweka ya huyo mama unayetumia jina lake.
 
Umekuwa mwanaume sikuhizi?, wewe si tuliambiwa ulitaka kubakwa na joni? Sasa umekuwa mme wa single mama
 
Ni vizuri ukauomba uongozi wa jamii forums wakubadilishie hili jina. Maana linaleta ukakasi! Watu wengine wanaweza wakakufikiria tofauti. Tena kuna kipindi mpaka picha uliweka ya huyo mama unayetumia jina lake.
Huo ushauri wako kawape CHADEMA
 
Katika mitaala ya chama cha wanaume, topic ya single mamas ni topic ngumu sana kueleweka. Hii module huwa wana feli karibu wanachama 98%.

Tuseme tu ukwel, single mamas wanapeleka moto mkali sana ,hapa wanaongoza 2.-.1
 
Binti wa miaka 32
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…