Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama

Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama

Kama ilivyo kwa watu wengi hata mimi sikuwa na wazo kuwa siku moja nitazama mazima kwenye penzi la single mama ila ndo hivyo niko kwenye mahaba mazito. Huyu binti wa miaka 32 nimetokea kumpenda mno kuliko CHADEMA wanavyopenda maandamano yasiyo na tija. Ni binti mwenye sura nzuri sana na umbo namba 8 ya kibantu. Hauwezi kuongelea uzuri wa mwanamke halafu usimtaje. Utakuwa umevunja kanuni nyingi sana.

Black beauty kutoka kabila mojawapo la southern highlands. Mimi kwa sasa ni baba wa mtoto mmoja niliyemkuta naye. Yaani kitu mashine mnato utadhani hajawahi shiriki lile tendo. Pia kwa bahati nimemkuta kama ana mimba. Sina uhakika sana ila nahisi anayo. Itakuwa bahati baada ya miezi 9 kuwa baba wa watoto wawili niliowakuta kwa mpenzi wangu.

Nimeandika huu uzi kuwajulisha tu. Sitaki ushauri wowote au kuonewa huruma. Ninawasihi ukimpata single mama kama anakupa furaha kuwa naye tu. Maisha mafupi sana haya kukaa kwa huzuni.
Wenzio wanatoa taarifa kwa umma wakihofia kutekwa wewe unatujulisha umalaya wako! fuk fuk fuk fuk you stupid !
 
Single Maza yeyote ambaye yuko serious kweli, na hataki tena utani na maisha, Na atakuwa kaamua kweli kutulia, Na kubadilika na hataman kurudi kwa Bby Dady wake basi atulie Afanye Biashara🙏😂
Quote
 
Ukianza kupigwa mizinga, utarusha taulo mwenyewe. 😁
 
Msamehe bure, ukiona mtu anamwaga mitusi jua tu mahala flani kuna shida au ni victim wa situation flani may be malezi, changamoto za maisha nk nk ni wa kusamehe tu......hata usimjali 😁
Ukiona mtu anakwazwa na ID ya JF ujue ana tatizo kwenye ubongo. Sio mzima.
 
Wait .wait 🙄🙄 kwani wewe ni mama yupi ?unakazakazwa?
 
Back
Top Bottom