Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama

Wenzio wanatoa taarifa kwa umma wakihofia kutekwa wewe unatujulisha umalaya wako! fuk fuk fuk fuk you stupid !
 
Single Maza yeyote ambaye yuko serious kweli, na hataki tena utani na maisha, Na atakuwa kaamua kweli kutulia, Na kubadilika na hataman kurudi kwa Bby Dady wake basi atulie Afanye BiasharaπŸ™πŸ˜‚
Quote
 
Ukianza kupigwa mizinga, utarusha taulo mwenyewe. 😁
 
Msamehe bure, ukiona mtu anamwaga mitusi jua tu mahala flani kuna shida au ni victim wa situation flani may be malezi, changamoto za maisha nk nk ni wa kusamehe tu......hata usimjali 😁
Ukiona mtu anakwazwa na ID ya JF ujue ana tatizo kwenye ubongo. Sio mzima.
 
Wait .wait πŸ™„πŸ™„ kwani wewe ni mama yupi ?unakazakazwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…