Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mbona ya kitambo hii.?Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk. Hussein Ali Mwinyi amemtembelea kumjulia hali Rais Mstaaf wa Zanzibar awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia nakuzungumza naye.
Thibitisha kauli yakoPunguani peke yake ndiye anaweza kuamini kuwa Zanzibar ina Rais.Ukweli mchungu ni kwamba Zanzibar inaongozwa kutokea Bara kwa kutumia remote controll!
Shein kwao si Pemba, nilifikiri atakuwa kwao Pemba.
Sijui kwanini Wapemba hawapapendi Pemba.
Nani aanze kupata Covid19 kati yao ?Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk. Hussein Ali Mwinyi amemtembelea kumjulia hali Rais Mstaaf wa Zanzibar awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia nakuzungumza naye.
Mafisadi ya Ccm mengi huwa hayawekezi ndani ya nchi.Mbona ndan ni pa kawaida ,nilitegemea nione feniture kalii za kisasa kunawaka ndani....