It is too cheap kwa mamlaka za juu za wizara kutoa taarifa ya ovyo ovyo kwa jambo ambalo lingepaswa kutolewa taarifa na maamuzi siku ile ile na mganga mfawidhi wa hospitali husika.
Watanzania kwa sasa wanataka kusikia taarifa kuhusu hali ya Corona hapa Tanzania, maana karibu hospitali zote za rufaa za mikoa na kadha zinaripoti kimya kimya uwepo wa wagonjwa na vifo vinavyotokana na dalili zile zile za Corona.
Acheni blah blah za kututoa kwenye mambo ya msingi na kutuletea spinning.