Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mr. Police, this is nonsense, hamuwezi kujichunguza, mtapendeleana kama ilivyo kawaida yenu. Mtasema uongo kulindana, tumewazoea hivyo. Hakuna kitu hapo.
Mkuu umefanya vizuri sana ili kukata maneno ya ovyo yanayotolewa kwa mara nyingine kwa fitina ama ujinga wa watu pengine wenye uelewa mdogo ambao ndio wengi hapa kwetu, dhidi ya jeshi letula polisi.
Naona wamewahi kujibu shutumaMkuu umefanya vizuri sana ili kukata maneno ya ovyo yanayotolewa kwa mara nyingine kwa fitina ama ujinga wa watu pengine wenye uelewa mdogo ambao ndio wengi hapa kwetu, dhidi ya jeshi letula polisi.
Kwa utaratibu huu, bila shaka tutafika mahala pazuri tu kwamba jeshi litapewa heshima inayostahili, na litafanya kazi kwa weledi na haki.
Kwa kuanzia tu mkuu, bila shaka umekuwa ukisikia mara kwa mara watu wakiuliza, kwa kutafa kujua maendeleo ya upelelezi wa kupotea kwa Azori Gwanda, Ben Saanane na vifo vya Kamanda Mawazo, Paul Mwangosi, na jaribio la mauaji la Tundu Lisu.
Mungu Ibariki Tanzania
Sasa wewe unataka achunguze nani? Hujui katika makosa ya kazini kuna personal offences pia? Hivi unapokataza viongozi wasimamizi wa ngazi za juu wa Jeshi letu wasichunguze, unaquestion credibilities za mamlaka ya uteuzi? Kwamba IGP ndiye anawatuma askari wabake na kubambikia kesi watu?Mr. Police, this is nonsense, hamuwezi kujichunguza, mtapendeleana kama ilivyo kawaida yenu. Mtasema uongo kulindana, tumewazoea hivyo. Hakuna kitu hapo.
Hizi siyo shutuma, nikumkubusha kiongozi tu afanye utaratibu maswali haya yajibiwe katika namna hii aliyoieleza ambayo ki ukweli inatufungua macho sana.Naona wamewahi kujibu shutuma
Mkuu umefanya vizuri sana ili kukata maneno ya ovyo yanayotolewa kwa mara nyingine kwa fitina ama ujinga wa watu pengine wenye uelewa mdogo ambao ndio wengi hapa kwetu, dhidi ya jeshi letula polisi.
Kwa utaratibu huu, bila shaka tutafika mahala pazuri tu kwamba jeshi litapewa heshima inayostahili, na litafanya kazi kwa weledi na haki.
Kwa kuanzia tu mkuu, bila shaka umekuwa ukisikia mara kwa mara watu wakiuliza, kwa kutafa kujua maendeleo ya upelelezi wa kupotea kwa Azori Gwanda, Ben Saanane na vifo vya Kamanda Mawazo, Paul Mwangosi, jaribio la mauaji la Tundu Lisu na aliyefyatua risasi za moto kwenye maandamano ya amani akamuua Aquilina mtoto wetu.
Mungu Ibariki Tanzania
Historia yao si nzuri kujichunguza. Polisi ya Tanzania haina sifa ya kujichunguza na kutenda haki. Akwilina iliishia wapi? mfano mzuri tu huo...Sasa wewe unataka achunguze nani? Hujui katika makosa ya kazini kuna personal offences pia? Hivi unapokataza viongozi wasimamizi wa ngazi za juu wa Jeshi letu wasichunguze, unaquestion credibilities za mamlaka ya uteuzi? Kwamba IGP ndiye anawatuma askari wabake na kubambikia kesi watu?
Wewe toa taarifa sahihi mahala sahihi. Ukiona matokeo hayajakuridhisha, apeal kwenye ngazi za juu zaidi, maadamu wametukaribisha. Hofu ya nini?