Serikali kuweni wawazi.
- Utaratibu uliotumika mpya wa kupanga matokeo ni upi?
- Utaratibu wa zamani ambao ndio sasa mnataka kuutumia ni upi?
da afadhali ila mpaka sasa sijajua ni nani anatakiwa KUJIUZULU!!! teh teh yule katibu mkuu aliyepigiwa kelele na akina nanihii au this time atatakiwa AJIUZULU pamoja na waziri wake!!
Hivi huyu dr shukuru kawambwa ana phd ya vitu gani maana kila wizara anakopelekwa anachemka mbaya??
Je wizara ina mpango gani kwa wale wahitimu wailio jinyonyonga kutokana na mipango yake mibovu?
Hivi huyu dr shukuru kawambwa ana phd ya vitu gani maana kila wizara anakopelekwa anachemka mbaya??
Kweli binadamu tumeumbwa tofauti. Mimi huwa nachukia kudanganywa, cha ajabu wengine wanathubutu hata kujidanganya wenyewe