Taarifa kwa Umma toka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

Taarifa kwa Umma toka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

wana jf, me serikali ya nchi yetu imenishinda yaani ni bora tu kila mtu aanze kujiongoza mwenyewe kuliko kuongozwa na majuha. very ----, ----in
 
Kwa mamlaka niliyo pewa ya kikatiba ya JMT kifungu 10 b sura ya 3, natangaza kubadilisha matokeo ya Uchaguzi wa mwaka huu 2015. Awali matokeo yalikuwa Njano 15% na Vidole viwili 42%. Sasa sheria inasema kuwa Mwenyekiti wa tume ana mamlaka ya kupindua namba ili kuona kama namba zikipinduliwa zinaleta 50% au zaidi. Hivyo napindua.

Njano - awali(15% ) , Ukipindua (51%)
Vidole 2- awali (42%), ukipindua (24%)
HIVYO KWA KIFUNGU HIKI CHA KATIBA NJANO NDIYO WAMESHINDA BAADA YA KUPINDUA NAMBA KWA 51%
 
Hatarrriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii watoto wa leo hata uwape mtihani wausome wiki nzima, bado wakiingia kwenye mtihani watamchora MESSI TU. serikali imezingua sana. hapo hamna viwango vipya wala nini nimambo ya siasa tu. Na hii kitu haitaleta maendeleo hata siku moja. Wajenga nini kwa wanafunzi wa miaka inayofata. Uhuru wa kujitawala tumeutaka lakini kiuhalisia hatuwezi kujitawala hata kidogo. Inafika kipindi unaona bora waje waingereza watuongoze kuliko haya Magarasa ya kijani. Na miaka inavyozidi kwenda vichwa vyao ndio vinazidi kuwa kama Funza wa chooni.
 
Serikali kuweni wawazi.
  • Utaratibu uliotumika mpya wa kupanga matokeo ni upi?
  • Utaratibu wa zamani ambao ndio sasa mnataka kuutumia ni upi?

Ndo viongozi wetu hao. Wameamua kumuiga nchimbi watuhumiwa wanakamatwa nane unatoa jina la mmoja tu. Huo utaratibu mpya ulitolewa na nani na ni hatua gani zitachukuliwa dhini ya hao waliotoa na kulazimisha kuutumia. Hili nalo watuambie
 
da afadhali ila mpaka sasa sijajua ni nani anatakiwa KUJIUZULU!!! teh teh yule katibu mkuu aliyepigiwa kelele na akina nanihii au this time atatakiwa AJIUZULU pamoja na waziri wake!!

Hivi huyu dr shukuru kawambwa ana phd ya vitu gani maana kila wizara anakopelekwa anachemka mbaya??
 
Sisi sio watoto wadogo kama vipi chakachueni yote hata ya miaka iliyopita.Kushindwa kuwajibika mnaleta longolongo hapa sasa mnabadili F=D, D=C, C=B,NA B=A ili kuziinua shule zenu zinazotia aibu.
 
Sisi sio watoto wadogo kama vipi chakachueni yote hata ya miaka iliyopita.Kushindwa kuwajibika mnaleta longolongo hapa sasa mnabadili F=D, D=C, C=B,NA B=A ili kuziinua shule zenu zinazotia aibu.
 
kupanga matokeo upya co suluhisho..walimu walipwe vizuri kulingana na mikataba na wanafunzi watengenezewe mazingira mazuri ya kusoma ikiwa sambamba na vitendea kazi...wanafunzi wajengewe mazingira yatakayowalazimisha kusoma...kama shule za prvte zinavyofanya..
sa iv nackia ata 10 ni D, asa apa tunajenga au tunabomoa! mtabadilisha matokeo adi lini? cha msingi serikali ikubali makosa kwamba yenyewe ndo chanzo cha kuharibu maisha ya watoto...
ts tym that pipo start being responsible for dere action n stop pointing fingers on someone else! CCM...._Groove ua thots! nchi imewashinda, jct accept t.
 
aaah! washazingua kuanzia katibu pamoja wazir wake hamna lolote kwa nn mwanzo kabla ya kutangaza matokeo wasiyabadilishe hukohuko mpaka kimenuka ndo wanajifanya wasamariawema.........wizi mtupu!
 
Hivi huyu dr shukuru kawambwa ana phd ya vitu gani maana kila wizara anakopelekwa anachemka mbaya??

angekuwa na Poor Hair Distribution tungejua PHD aliyokuwa nayo ni ipi.
Ila Kawa-Mbwa kama jina lake.
 
serikali lege lege bana sasa kwanini hakuna msimamo??kama watu washafulia wacha wafulie alafu tuone nkama hizo viwango za maksi zikitumika mwaka huu watu watafulia tena .....sasa
 
Hivi huyu dr shukuru kawambwa ana phd ya vitu gani maana kila wizara anakopelekwa anachemka mbaya??

mkuu PHd application zake katika uongozi unafikiri ni nini?? kama zingekuwa na application nafikiri tungekuwa mbalii kuanzia na ya JK ya kwake ya kupewa.
 
Back
Top Bottom