mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Ina hadi kamba ya kujinyongeaHiyo sahihi ya mkurugenzi ni kizungumkuti 🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina hadi kamba ya kujinyongeaHiyo sahihi ya mkurugenzi ni kizungumkuti 🙂
Mweshimiwa uliyetoa huu waraka wa kanusho, tujulishe kwa usahihi, idadi halisi ya Camera zitakazo fungwa kwenye project hiyo.
Mzee.Unashukuru wa taarifa ipi we nzi wa kijani? Kuna ufafanuzi gani hapo zaidi ya kuendelea kujichanganya na kuji implicate?
Hii taarifa ilitumwa na JAMII FORUMS?
Hivi huko CCM mmejaa wapuuzi sana eeh?
View attachment 3242807
Ombeni zifungwe.... 😄Mbona wadau akiwemo Mdakuzi wangu alitolea ufafanuzi mzuri tu? Hayo mambo ya kufunguliana kesi Mkurugenzi wa Jiji umefika mbali.
Taarifa hii rasmi ya ufafanuzi imetosha, na kupitia andiko la aliyeleta uzi wengi tumefahamu kuhusiana na ufungwaji huo wa kamera ambayo ni taarifa njema ya kupongezwa Mkurugenzi wa Jiji na watendaji wake.
Your post was misleading. Kama una hakika hukufanya upotoshaji, kwanini uweweseke?Upotoshaji gani?
Kuna kitu gani kimepotoshwa kutokana na hii taarifa hapa nzi wa kijani wewe?View attachment 3242808
Sasa ndugu ofisa mbona Taarifa yako haina tofauti yoyote na ile unayoipinga? Maana ni kweli kwamba kitakachofungwa ni camera 40 tu na gharama ni mil 514, Mimi nilidhani labda hiyo gharama iliyotajwa JF haikuwa sahihi, kumbe ni yaleyale!
Misleading how? Yaaani niweweseke mimi? We jamaa mjinga sana!Your post was misleading. Kama una hakika hukufanya upotoshaji, kwanini uweweseke?
Stick to your guns if you're absolutely sure what you said was right. What is the problem? Other than that kula kinyesi yako.
Mkuki kwa nguruwe kwako uchungu eh?
Niliwasilishaje?Mzee.
Ww uliwasilisha vipi hiyo Taarifa?
Kama sio MODS kubadilisha kichwa cha mada ambacho kwa uhakika kiliwika kilio cha umbwa mwitu, sidhani kama ungeweza kujitete hapa na hiyo linki ya ITV.
Mzee, tena ulienda mbali na sio tu kuishutumu Serikali, lakini kudai uasi ufanyike.
Sasa kwenye hiyo link ya ITV wapi wamesema "Wizi" au kuitaja "CCM"? Au kudai Uasi?
Hawawezi kukujibu maana kuna upigaji hapo!Hapo bado Jamiiforums tuna hoja. Kwa kuwa umekuja mwenyewe basi tuwekee mchanganuo wa kila kipengele. Weka gharama ya ununuzi wa camera, usimikaji, ununuzi wa vifaa vya TEHAMA, kazi nk. Hujaweka aina ya camera na idadi yake.
Hapo kwenye control room inakuweje mpaka mmesaini hamna uhakika kama ni kujenga au kukarabati. Mnaweza kuwa mmeweka bei za kujenga halafu mnatafuta jengo mnakarabati. BOQ kwa mkataba uliokwisha sainiwa sio siri. Tuwekee walipa kodi hapa
Umepanic ww. Sasa badala ya kupambana na huyo Mkurugenzi, kwa akili yako ndogo unataka kupambana na mm.Misleading how? Yaaani niweweseke mimi? We jamaa mjinga sana!
Mimi niweweseke na nini we kijana?Umepanic ww. Sasa badala ya kupambana na huyo Mkurugenzi, kwa akili yako ndogo unataka kupambana na mm.
Wewe Mzee ni mjinga kupita wajinga wa ulimwengu. Ona unavyoweweseka hapa.
Kubwa jingalao
Unanipotezea mda . Nakula lanchi.Mimi niweweseke na nini we kijana?
Kunq kipi hapo cha kunifanya niweweseke?
Kwanza ndo kwanza nimezidi kuwapiga maswali kwenye huo ufafanuzi nao ambao ni kama wamepuyanga tu.
Kituko cha mwaka. Wanasema hayo alafu wao wenyewe wakiwa na verified account humu hu.u JF🤣🤣🤣😅Anasema JF Sio chanzo cha uhakika?
ina maana hujui kuwa JF Habari nyingi huwa zinaanzia hapa!
Unataka tukuwekee BOQ wewe kama nani?Mimi nataka signed BOQ Tu iwekwe hapa inayoonyesha quantity ya camera
Nisamehe saaaana Kaka. YaisheUnataka tukuwekee BOQ wewe kama nani?
CAG mwenyewe akifika hapa kwetu ananywea, sembuse wewe.
Halafu msituonee wivu, sisi tumeruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zetu.
PS
Wewe unafikiri haya magari namba E yanayotoka kila siku na hii mijumba inayoota kila siku ni pesa ya kubetika?
Asante mkuu kwa maswali ya maana kabisaSasa ndugu ofisa mbona Taarifa yako haina tofauti yoyote na ile unayoipinga? Maana ni kweli kwamba kitakachofungwa ni camera 40 tu na gharama ni mil 514, Mimi nilidhani labda hiyo gharama iliyotajwa JF haikuwa sahihi, kumbe ni yaleyale!
Kingine ni hiki, jf na pengine wanafahamu kwamba unapofunga camera kuna vitu vingine vinaambatana navyo zikiwemo hata vyumba vya kufanyia ukaguzi, kwahiyo wala hilo halikuhitaji ufafanuzi.
Tatizo bado ni hiyo gharama ya 514mil, Kudai kwamba sijui Mkataba ulifungwa hadharani hizo ni porojo tu za kutafuta kichaka cha kujificha, hii ni kwa sababu hata bungeni ilitengenezwa mikataba mibovu na ilikuwa hadharani kama huu mkataba wako.
Tunachotaka ni kujua mchakato wa hizo camera 40 imekuwaje iwe mil 540, hatutaki kitu kingine.
Mwisho: Naipongeza JF kwa kufichua Ufisadi huu.
Hutuna shida na Eneo tuna shida na idadi ya camera 40 tu nusu billionKwakuanzia Camera zitafungwa Kariakoo
Mradi wote utakuwa na gharama ya 514mili.
Mradi utahusu eneo la mjini kati - CBD.
Kwahiyo hiyo gharama ya kuinstall camera mjini kati na miundombinu yake yote.