Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Naam!Asante mkuu kwa maswali ya maana kabisa
Kamera 40 zaidi ya nusu billion ???
Hizo camera zinakamata wezi zenyewe!!
Hiyo control room ya camera 40 tu inakuwaje
Kuna kampuni Zina kamera karibu mia lakini zinawekwa kwenye screen tu ofisini kwa Mkurugenzi
Camera moja ya Axis inaanzia laki tano na zipo hadi za 5m, jiji wamenunua 40 za 5m ambazo zimegharimu 200m. Ukiongeza na vifungashio vyake pamoja na ufundi ndiyo hiyo imefikia 514m.Hutuna shida na Eneo tuna shida na idadi ya camera 40 tu nusu billion
Kuna Makampuni ya camera zaidi ya 100 lakini haiwezekani ufungwe nusu billion
Camera za KISASA hazihitaji hata nyaya
Hapa hawatajibu , watakimbia kama Emmanuel Nchimbi alivyokimbia mdahalo wa Chief Odemba.Tunaomba kujua kuwa BOQ inaonyesha Pcs Ngapi za Camera ili tujue, maeneo Gani yatafungwa? Hii taarifa ni too general.
Civil works ni mkusanyiko wa KAZI ipi na ipi? Ufungaji wa mfumo wa umeme ni upi huo?? Hapana, nyie mmepotosha
Wekeni BOQ. Shida iko wapi?Camera moja ya Axis inaanzia laki tano na zipo hadi za 5m, jiji wamenunua 40 za 5m ambazo zimegharimu 200m. Ukiongeza na vifungashio vyake pamoja na ufundi ndiyo hiyo imefikia 514m.
Sasa sijui nyie waungwana mnataka tuweke hivi vikamera uchwara vya kichina, NHK sijui Dahua vya mp 2?
Masambwaaa πKumbe mnasikia vizuri kuna watumishi wa NIDA temeke ni wasumbufu sana soon ntatoa bandiko na kuwataja kwa majina yao kuzungusha zungusha wakitengeneza mazingira ya rushwa
Civili work gani zitafanyika kwenye huo mradi?. Au watasimika nguzo kaliakoo Ili wafunge hizo kamera?. Usanii usanii tu, ufangaji camera hauhitaji civil work.Tunaomba kujua kuwa BOQ inaonyesha Pcs Ngapi za Camera ili tujue, maeneo Gani yatafungwa? Hii taarifa ni too general.
Civil works ni mkusanyiko wa KAZI ipi na ipi? Ufungaji wa mfumo wa umeme ni upi huo?? Hapana, nyie mmepotosha
Nikweli umechoandika Je kwenye ufungaji wa camera kaliakoo, civil work gani zinahitajika?.Ni sawa kwa hiyo bei especially mkifunga mifumo genuine na quality kama mfumo wa Fiber wa Camera za Axis...ila tukija kukuta ni Camera za elfu sabini Sabini za Dahua au HIK vision za MP 2 au 4 hapo hamtakua na wakuwatetea.
Hakuna ulichofafanua au kusahihisha. Sanasana umetuthibitishia kua alichoandika mdau ni kweli kabisa.
SenyengeHiyo sahihi ya mkurugenzi ni kizungumkuti π
Mkurugenzi wa Ilala ni afisa usalama sasa amekulia kwenye mazingira ya ukuda ukuda tu.Mbona wadau akiwemo Mdakuzi wangu alitolea ufafanuzi mzuri tu? Hayo mambo ya kufunguliana kesi Mkurugenzi wa Jiji umefika mbali.
Taarifa hii rasmi ya ufafanuzi imetosha, na kupitia andiko la aliyeleta uzi wengi tumefahamu kuhusiana na ufungwaji huo wa kamera ambayo ni taarifa njema ya kupongezwa Mkurugenzi wa Jiji na watendaji wake.
Ndiyo lengo.Sasa maelezo ni mengi yanachanganya sana.
Na wa RomboKumbe mnasikia vizuri kuna watumishi wa NIDA temeke ni wasumbufu sana soon ntatoa bandiko na kuwataja kwa majina yao kuzungusha zungusha wakitengeneza mazingira ya rushwa
wezi hawa mastaaa, alafu kule kwenye ile uzi kuna kenge walikuwa wanabishawanabisha kuwa ile sio hela mingi, mkurugenzi kakubali ila hela kaiongezea kazi mingi alete BOQ, tuichambue hapa tuone inakuwajeTunaomba kujua kuwa BOQ inaonyesha Pcs Ngapi za Camera ili tujue, maeneo Gani yatafungwa? Hii taarifa ni too general.
Civil works ni mkusanyiko wa KAZI ipi na ipi? Ufungaji wa mfumo wa umeme ni upi huo?? Hapana, nyie mmepotosha
Ujue saivi wamenasa vibaya watu tumesoma tunajua mambo mengi sanaNi sawa kwa hiyo bei especially mkifunga mifumo genuine na quality kama mfumo wa Fiber wa Camera za Axis...ila tukija kukuta ni Camera za elfu sabini Sabini za Dahua au HIK vision za MP 2 au 4 hapo hamtakua na wakuwatetea.
ngoja nkutafutie link, kuna kenge kule tuliziambia hela nyingi hizo kosa kazi imefanywa na ccm waliishia kusema mama anaupiga mwingi ππππ Yan majitu majinga sana M514 kwa kamera zipi ? Hizi za elfu 70 ?Mwenye huo uzi wa Awali apost hapa tafadhali