TAARIFA KWA UMMA;

Nitajulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
328
Reaction score
355
Napenda kuwajulisha wanajamvi wote ili kuwajulisha kuwa muda wowote kuanzia sasa nitaitisha Press conference ili kutangaza kujivua uana jamvi wa Jamii Forum,ili kuunga mkono jitihada zinazofanywa na mkurugenzi wa Jamii Forum Bwana Maxence Mello katika kuhakikisha wanajamvi mnapata huduma nzuri na ya uhakika.
Tena nikwambie Mheshmiwa Mello kwamba ukinihitaji nitume.
"JITIHADA HAZINA VYAMA"
 
Hongera kwa maamuz magmu mkuu mi naiunga mkono TBA kwa kutengeneza nyufa ( joint) ili nyumba ipumue au ijambe
 
we mkojo wako utapimwa soon...naona unawashwa sana wewe...
au na wewe utakuwa na ufa kwa ajili ya kupumua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…