Nitajulikana
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 328
- 355
Napenda kuwajulisha wanajamvi wote ili kuwajulisha kuwa muda wowote kuanzia sasa nitaitisha Press conference ili kutangaza kujivua uana jamvi wa Jamii Forum,ili kuunga mkono jitihada zinazofanywa na mkurugenzi wa Jamii Forum Bwana Maxence Mello katika kuhakikisha wanajamvi mnapata huduma nzuri na ya uhakika.
Tena nikwambie Mheshmiwa Mello kwamba ukinihitaji nitume.
"JITIHADA HAZINA VYAMA"
Tena nikwambie Mheshmiwa Mello kwamba ukinihitaji nitume.
"JITIHADA HAZINA VYAMA"