Taarifa kwa umma

Mkuu hadi wewe hujui vigezo vya mfungaji Bora iwapo watafungana idadi ya mabao?
Weka ushabiki pembeni
Hujui kila nchi inakuwa na sheria zake?

Hata CAF wanasheria zao, mfano ule mwako ambao mrisho ngasa achukue kiatu CAF, kulikuwa na wenzake watano waliofunga magoli sawa.

Lakini

Vigezo vya FIFA vinambeba Saido kutokana na uchache wa mechi, hata hivyo kunakuwa na vigezo ambavyo kama nchi inaamua kuviweka.

Ndio maana mpaka sasa hakuna kauli yeyote kutoka bodi ya ligi ila huku mtandaoni watu mshajimilikisha viatu.
 
Ona ulivyo mweupe Sasa . Hakuna kigezo Cha fifa kinachombeba mfungaji Kwa idadi ya mechi . Mtu anabebwa na muda alioutumia uwanjani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Shida Yako hujui ila unajikutaga mjuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…