Taarifa kwa umma

Ona ulivyo mweupe Sasa . Hakuna kigezo Cha fifa kinachombeba mfungaji Kwa idadi ya mechi . Mtu anabebwa na muda alioutumia uwanjani 😂😂😂😂. Shida Yako hujui ila unajikutaga mjuaji
View attachment 2651877
Unaelewa nilimaanisha hivyo ila kwakua umeamua kutumia advantage ya kufanya kebehi I finna let you win
 
Sasa hii ni ligi ya FIFA? na tukienda huko ndio hampati hata stocks
 
View attachment 2651852

MEDALI zimefungwa na lock za mabegi ya watoto wa shule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2223]
Ndio bodi ya ligi wameleta sisi tufanyaje Sasa Mkuu![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sasa sisi Tanzania Sheria yetu si ndo hii hapa, ama?
 
Simba ni genge la wahuni kama ilivyo kwa TFF.

Mchezaji mmoja anafunga magoli 7 kwenye mechi 2 mfululizo za mwisho!

Hapa kuna upangaji wa matokeo, wahusika fanyeni kazi zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…