Taarifa kwa Vyombo vya Habari kutoka Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha juu ya CHADEMA

Nilisema tangu mwanzo, niwanachama wenyewe wa CDM ndio walio husika na uchomaji huo wakiongozwa na Mzee wa kitofali.
 
mapolice wa ccm wajinga hao chadema hawajahusika unaweza kuichoma nyumba yako moto kweli police ccm wajinga sanaaaaaaaaa.
Mkuu, unatoka na mapovu bure. Polisi wamekamilisha kazi yao na ukweli ndo huo. Kama hamkubaliani na ripoti hiyo, ni vema mkawaita wachunguzi binafsi kufanya kazi hiyo. Hata FBI mnaweza kuwaita
 
Nilisema tangu mwanzo, niwanachama wenyewe wa CDM ndio walio husika na uchomaji huo wakiongozwa na Mzee wa kitofali.
Sana tu Mkuu. Swali la kujiuliza, kwa nini iwe Arusha tuuuuuu?
 
Miye nilishaandika hapa kuwa Tz hakuna polisi watu wanabisha!!Tufanye mazoezi tujilinde wenyewe haya yamezama kwenye tope la magamba na UFISI WOTE wanao haya ni majambazi yaliyovaa uniform na kulipwa kwa kodi zetu!! Polisi polisi wako wapi!! damn it!!
 
Lema anatoa amri kwa polisi kama nani IGP au Waziri, kila siku nasema uwezo wa Lema ni mdogo mno katika masuala ya utawala.
 
Kwani ile ishu ya bomu kipindi kile Mbowe alisema ushahidi anao? Imeishiaje tena au kama kawaida yake kafanya uDJ wake?
 
mapolice wa ccm wajinga hao chadema hawajahusika unaweza kuichoma nyumba yako moto kweli police ccm wajinga sanaaaaaaaaa.
Ilo bichwa ulililo nalo jaribu kulitendea haki japo kidogo.Mahala gani ktk jamhuri hii ambapo CDM wamejenga nyumba? (achana na office) unashangaa CDM kupiga moto office yake? Kwanini usianze kushangaa walipo jilipua kwa bomu hapohapo Arusha.
 
Kwani ile ishu ya bomu kipindi kile Mbowe alisema ushahidi anao? Imeishiaje tena au kama kawaida yake kafanya uDJ wake?

Ile ilikuwa ni porojo tu! Kama kawaida ya Mbowe, hamaanishi anachokitamka, Pale NMC aliwahi kusema kuwa hataki gari la KUB kwa sababu ana magari mazuri kuliko lile, Lakini mpaka kesho analitumia.
 
Mkuu, chadema hawana tofauti na Wataleban

Jaribu kuwa na nidhamu unapotaja majina ya wanamme wewe!
We unaweza kulinganisha TALEBAN! Na hao wenye meno meusi??
Taleban sio cowards. Ni watu wa shoka. Waliopambana na Russians for decades! Leo wanapambana na The biggest army DUNIANI! Kwa miaka 12! Na bado THEY ARE GOING STRONG!
Utalinganisha na hawa ushuzi. Likipigwa bomu la machozi wanajamba ovyo na kujificha nyuma ya kina mama ntilie!

Amma huna adabu kwelikweli we! Siku moja Unatakiwa.utiwe adabu kidogo ndio ujue namna ya kutumia majina ya waungwana kwa nidhamu!
Mfnsssssssssss!
Cc Boko haramu faby wabara
 
Last edited by a moderator:
Lema anatoa amri kwa polisi kama nani IGP au Waziri, kila siku nasema uwezo wa Lema ni mdogo mno katika masuala ya utawala.

Sawa mkuu basi Nyakurungu ndio ana uwezo wa juu ktk utawala.
 
Nikweli Mkuu Wateleban wapo vizuri ndio maana yule Rais wao Chongo hakukimbia wamarekani walivyowavamia
 
Ndugu yangu leo wamekuwa hawafai..,wakati katibu mkuu wenu alikuwa kila kukicha anasema kuwa robo tatu ya usalama wa Taifa wanaripoti kwake.,au kuna new recruitment ambayo haimtambui dokta..?
 
Nimekusoma mkuu. Hakika nakiri kuwa hapo nilipotoka. Hawa watu wa meno ya ugoro hawawezi hata kudiriki kupambana. Wao wanatumia mbinu za kuvizia tu. ahsante Mkuu Kahtaan ​kwa kunikumbusha hilo
 
Kwani ile ishu ya bomu kipindi kile Mbowe alisema ushahidi anao? Imeishiaje tena au kama kawaida yake kafanya uDJ wake?

tena ilitolewa video ya kwanza kisha wakatudanganya kuwa kuna VIDEO nyingine inakuja na kwamba mkutano huo ulikuwa umerekodiwa na mitambo maalumu ya CCTV kutoka China..,WALIBERALI nouma..changa kwenda mbele.
 
Lema ni mbunge M.pu,mbavu,

SAMAHANI SANA KWA KUSEMA KAULI HII,JE NA WALE WALIOMCHAGUA KWA MARA KWANZA TUNAWEZA KUSEMA KWAMBA SIO KOSA LAO HAWAKUJUA KUWA LEMA NI BALAA KWAO,JE WAKIMCHAGUA KWA MARA NYINGINE TUTAKOSEA NA HAO TUKIWAITA WA.PUMBA.VU??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…