Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, unatoka na mapovu bure. Polisi wamekamilisha kazi yao na ukweli ndo huo. Kama hamkubaliani na ripoti hiyo, ni vema mkawaita wachunguzi binafsi kufanya kazi hiyo. Hata FBI mnaweza kuwaitamapolice wa ccm wajinga hao chadema hawajahusika unaweza kuichoma nyumba yako moto kweli police ccm wajinga sanaaaaaaaaa.
Sana tu Mkuu. Swali la kujiuliza, kwa nini iwe Arusha tuuuuuu?Nilisema tangu mwanzo, niwanachama wenyewe wa CDM ndio walio husika na uchomaji huo wakiongozwa na Mzee wa kitofali.
Miye nilishaandika hapa kuwa Tz hakuna polisi watu wanabisha!!Tufanye mazoezi tujilinde wenyewe haya yamezama kwenye tope la magamba na UFISI WOTE wanao haya ni majambazi yaliyovaa uniform na kulipwa kwa kodi zetu!! Polisi polisi wako wapi!! damn it!!Polisi mkoani Arusha imekamilisha uchunguzi wake kuhusiana na kuungua kwa ofisi za Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kusema wanachama wa Chama hicho ndio waliohusika.
hata hivyo, Mbunge wa Arusha Mjini (chadema) Godbless Lema amepinga kauli hiyo na kulipa jeshi hilo siku nne kuwakamata na kuwahoji watuhumiwa watano baada ya kulipatia majina hayo akidai kuwa ndio wanaohusika na uchomaji moto ofisi za chama hicho.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana, Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Japhet Lusinga alisema;
".. katika uchunguzi wetu tumebaini kuwa hakuna mahali palipovunjwa kutoka nje ya uzio na kuruhusu watu kuingia ndani...tumegundua kuna tundu dogo darini eneo la kuelekea bafuni la upana wa futi moja na nusu kiasi haliwezi kuruhusu mtu kupita.
Tumejiridhisha kuwa hakuna mtu anayeweza kupita hapo na ndani tulikuta majibu na baadhi ya vitu vilivyoungua na vifaa vingine.."
SOURCE:
Mwananchi, alhamis, desemba 5, 2013 (FRONT PAGE)
MY TAKE:
Polisi watuambie ripoti ya uchunguzi wa mlipuko wa bomu imefikia wapi.,maana kama hali iko hivi nina mashaka kuwa hata mlipuko wa bomu inawezekana waliutengeneza wenyewe kama zilivyo hisia za wengi katika watu wenye kuwaza sawasawa.
Mkuu, chadema hawana tofauti na Wataleban
Polisi mkoani Arusha imekamilisha uchunguzi wake kuhusiana na kuungua kwa ofisi za Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kusema wanachama wa Chama hicho ndio waliohusika.
hata hivyo, Mbunge wa Arusha Mjini (chadema) Godbless Lema amepinga kauli hiyo na kulipa jeshi hilo siku nne kuwakamata na kuwahoji watuhumiwa watano baada ya kulipatia majina hayo akidai kuwa ndio wanaohusika na uchomaji moto ofisi za chama hicho.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana, Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Japhet Lusinga alisema;
".. katika uchunguzi wetu tumebaini kuwa hakuna mahali palipovunjwa kutoka nje ya uzio na kuruhusu watu kuingia ndani...tumegundua kuna tundu dogo darini eneo la kuelekea bafuni la upana wa futi moja na nusu kiasi haliwezi kuruhusu mtu kupita.
Tumejiridhisha kuwa hakuna mtu anayeweza kupita hapo na ndani tulikuta majibu na baadhi ya vitu vilivyoungua na vifaa vingine.."
SOURCE:
Mwananchi, alhamis, desemba 5, 2013 (FRONT PAGE)
MY TAKE:
Polisi watuambie ripoti ya uchunguzi wa mlipuko wa bomu imefikia wapi.,maana kama hali iko hivi nina mashaka kuwa hata mlipuko wa bomu inawezekana waliutengeneza wenyewe kama zilivyo hisia za wengi katika watu wenye kuwaza sawasawa.
Ilo bichwa ulililo nalo jaribu kulitendea haki japo kidogo.Mahala gani ktk jamhuri hii ambapo CDM wamejenga nyumba? (achana na office) unashangaa CDM kupiga moto office yake? Kwanini usianze kushangaa walipo jilipua kwa bomu hapohapo Arusha.mapolice wa ccm wajinga hao chadema hawajahusika unaweza kuichoma nyumba yako moto kweli police ccm wajinga sanaaaaaaaaa.
Kwani ile ishu ya bomu kipindi kile Mbowe alisema ushahidi anao? Imeishiaje tena au kama kawaida yake kafanya uDJ wake?
Mkuu, chadema hawana tofauti na Wataleban
Lema anatoa amri kwa polisi kama nani IGP au Waziri, kila siku nasema uwezo wa Lema ni mdogo mno katika masuala ya utawala.
Unajua hapa Arusha vijana wengi ni wanywa viroba hivyo niwepesi kushawishika.Sana tu Mkuu. Swali la kujiuliza, kwa nini iwe Arusha tuuuuuu?
Nikweli Mkuu Wateleban wapo vizuri ndio maana yule Rais wao Chongo hakukimbia wamarekani walivyowavamiaJaribu kuwa na nidhamu unapotaja majina ya wanamme wewe!
We unaweza kulinganisha TALEBAN! Na hao wenye meno meusi??
Taleban sio cowards. Ni watu wa shoka. Waliopambana na Russians for decades! Leo wanapambana na The biggest army DUNIANI! Kwa miaka 12! Na bado THEY ARE GOING STRONG!
Utalinganisha na hawa ushuzi. Likipigwa bomu la machozi wanajamba ovyo na kujificha nyuma ya kina mama ntilie!
Amma huna adabu kwelikweli we! Siku moja Unatakiwa.utiwe adabu kidogo ndio ujue namna ya kutumia majina ya waungwana kwa nidhamu!
Mfnsssssssssss!
Cc Boko haramu faby wabara
tayari wameshakatwa kamanda.,walinzi watatu na katibu muhtasi Dada Mwasha.Sasa kama ni CDM wamechoma, kwa nini wasiwakamate waliochoma..???
Miye nilishaandika hapa kuwa Tz hakuna polisi watu wanabisha!!Tufanye mazoezi tujilinde wenyewe haya yamezama kwenye tope la magamba na UFISI WOTE wanao haya ni majambazi yaliyovaa uniform na kulipwa kwa kodi zetu!! Polisi polisi wako wapi!! damn it!!
Nimekusoma mkuu. Hakika nakiri kuwa hapo nilipotoka. Hawa watu wa meno ya ugoro hawawezi hata kudiriki kupambana. Wao wanatumia mbinu za kuvizia tu. ahsante Mkuu Kahtaan ​kwa kunikumbusha hiloJaribu kuwa na nidhamu unapotaja majina ya wanamme wewe!
We unaweza kulinganisha TALEBAN! Na hao wenye meno meusi??
Taleban sio cowards. Ni watu wa shoka. Waliopambana na Russians for decades! Leo wanapambana na The biggest army DUNIANI! Kwa miaka 12! Na bado THEY ARE GOING STRONG!
Utalinganisha na hawa ushuzi. Likipigwa bomu la machozi wanajamba ovyo na kujificha nyuma ya kina mama ntilie!
Amma huna adabu kwelikweli we! Siku moja Unatakiwa.utiwe adabu kidogo ndio ujue namna ya kutumia majina ya waungwana kwa nidhamu!
Mfnsssssssssss!
Cc Boko haramu faby wabara
Kwani ile ishu ya bomu kipindi kile Mbowe alisema ushahidi anao? Imeishiaje tena au kama kawaida yake kafanya uDJ wake?
Unajua hapa Arusha vijana wengi ni wanywa viroba hivyo niwepesi kushawishika.